Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imani ni mitazamo tu tuliyojiwekea. Mitazamo inayotusaidia kuishi maisha kwa uhakika. Imani inakusaidia kipindi unapitia magumu na kupata unachokitaka. Imani inakusaidia kuwa na mwelekeo wakati...
2 Reactions
4 Replies
782 Views
Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga. Mademu wa zamani wananitumia msg za...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi, lazima umuibe kutoka kwa mwanaume mwingine asiyejali thamani ya alichonacho!
3 Reactions
7 Replies
500 Views
Kwenye uongozi kuna lawama. Lawama za kwanini jahazi halisongi mbele/ limeenda mrama. Lawama zingine huwa hazina msingi. Mwanamke hutegemea mwanaume ndo abebe hizo lawama. Na ndio inakua rahisi...
4 Reactions
5 Replies
760 Views
Wananchi wengi hasa nchini Kenya wamebaki midomo wazi baada ya kuona video iliyovuja ikimuonesha jinsi Dj Brownskin akimrekodi mkewe Sharon Mwangi akijitoa uhai hadi kufa mbele za Watoto wake...
17 Reactions
178 Replies
11K Views
Haya thread closed
11 Reactions
88 Replies
3K Views
Habari wadau? Katika pita pita zangu nimejifunza kuwa Wadada wengi wenye watoto ni wavumilivu kimaisha, akili zao zimekomaa, siyo wasumbufu, wana mapenzi ya kweli maana wameshatendwa lakini zaidi...
43 Reactions
210 Replies
23K Views
Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati, kama mada inavyo jieleza. Mimi ni baba wa Kiislam, mwenye miaka 38, nina mke na watoto watatu. Natafuta mwanamke mjane wa Kiislam, anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda. Kanikubalia mwezi wa 7 huyu...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
kijana mwenye jinsia mbili alipata shida ya kibofu cha mkojo na kufanyiwa surgery Lakini hali yake haikutengamaa bali ndio ikazidi kuwa mbaya sana sana . Sasa jana kanitumia meseji watsap...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi; * Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Watu mliopo kwenye mahusiano zaidi ya miaka 15 mnafanyaje fanyaje hadi mnadumu muda mrefu bila kuachana?
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimerudi tena. Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake. Guyz, hawa viumbe wana...
1 Reactions
2 Replies
468 Views
Ni janga la taifa, kila mtu anataka Ke yenye kalio la kufa mtu. Japo hiyo Ke inaweza ikawa na tabia Mbaya lakini kama nyuma imejazia hizo nyama nyama SAWA SAWA hata ndoa Inaweza ikatangazwa na...
13 Reactions
48 Replies
5K Views
Mwenye nguvu Hana pesa! Mwenye pesa hana nguvu! Mwenye pesa na nguvu Hana muda! Hivyo kubali kuridhika na uliye nae utaishia kulia tuuu Mistari michache tu kwa leo
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kids na teenagers wanapenda entertainment, right? Sasa kila muda mtoto wa kike anapoweka chaneli ya trace anakutana na wadada wako nusu uchi wakikatika. Mtoto huyu akiweka chanel ya E...
1 Reactions
2 Replies
672 Views
Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete Mtu kanikubali...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…