Kweli Mungu hakunyimi vyote.
Wanaume wenye sura ngumu, nzito na chachu wanayajua sana mapenzi aisee.
Yaani kuanzia maandalizi yake mpaka mwisho wa tukio ni full burudani.
Sio sawa na wanaume...
Nipo ziara Dar mitaa ya lubumbashi mbona Sioni mashangazi wakuu? Au nnataka nirudi handeni bila bila.
Update: Mimi sitaki wa kupiga show nataka tu niwaone kama mnavyowasifu.
Mada ya leo inawagusa walio katika ndoa na wale wanaotarajia kuingia. Unapoingia kwenye ndoa kitu cha kwanza ni kufikiria jinsi ya kuilinda kwa gharama yoyote. Kuingia kwenye ndoa na kutoka baada...
Propasal za "Una mpango gani na mimi" natamani uwe Baba wa wanangu, Oooooh unajua sa hv na mimi nataka niwe na ndoa yangu"
Unakuta mtu tayari ni Single Maza anakulazimisha kabisa watoto wake...
Wadau hamjamboni nyote? Hiki ni kisa cha kweli ambacho kilitokea Moshi.
Tarimo na Mwasha walikuwa marafiki wakubwa na wote ni wafanyabiashara, japo Mwasha tajiri zaidi. Mke wa Tarimo ni Daktari...
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana...
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile...
Mimi sio mtumiaji wa Snapchat ila ilinilazimu kuanza kutumia maana kuna pisi nilikua naifukuzia. Stori ni hivi hii pisi ni muigizaji wa tamthilia huwa inarushwa Dstv ni kazuri kadada kanavutia...
Kwenye mapenzi nimejifunza, USIWEKEZE moyo wako kwa mpenzi wako, mapenzi yaweza kufa sekunde yoyote, Wekeza KUCHA Na nywele, maana hata vikikatika vitaota tena.
Moyo unauma. Moyo uko sensitive...
Kwa nini watu hawapendi kuachika jamani? Ukiachwa achika, mbna kutiana mikosi kwa zawadi za kishingo upande kama hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ndo maana...
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane.
Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni...
Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini.
Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari...
Marriage is dead & women played a big role in killing it.
Here are 5 reasons why young people aren’t getting married:
1) Too risky
Men no longer see any benefit to marriage.
70% of divorces are...
Red flags in women
1. Watches mindless shows like the bachelor/bachelorette
2. Tattoos everywhere
3. Unnatural hair colors (Purple/Green/Bright Red)
4. Daddy issues
5. Single mommy with kids...
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara
Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia...
Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu.
Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa...