BUJIBUJI's Love Theory, must read and practice ili usiumie moyo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,837
Kwenye mapenzi nimejifunza, USIWEKEZE moyo wako kwa mpenzi wako, mapenzi yaweza kufa sekunde yoyote, Wekeza KUCHA Na nywele, maana hata vikikatika vitaota tena.
Moyo unauma. Moyo uko sensitive
Moyo wangu ni Mali ya Mungu,.
Maandiko Matakatifu yanasema. Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote. Maana ni Mungu peke yake hawezi kujifunza moyo wako.
Ukipractice hii utajifunza kupenda kwa akili, ambako ni kupenda kwa tahadhari
 
Maandiko pia yanasema:

Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha. Nani awezaye kuujua?

Yeremia 17 : 9
 
Kwenye mapenzi nimejifunza, USIWEKEZE moyo wako kwa mpenzi wako, mapenzi yaweza kufa sekunde yoyote, Wekeza KUCHA Na nywele, maana hata vikikatika vitaota tena.
Moyo unauma. Moyo uko sensitive
Moyo wangu ni Mali ya Mungu,.
Maandiko Matakatifu yanasema. Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote. Maana ni Mungu peke yake hawezi kujifunza moyo wako.
Ukipractice hii utajifunza kupenda kwa akili, ambako ni kupenda kwa tahadhari
Mzee samahan mbona kama unamsema mzee mwenzako ila samahan naludia tena samahan

Waiter zungusha tena bapa na dompo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom