Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mimi sio mtumiaji wa Snapchat ila ilinilazimu kuanza kutumia maana kuna pisi nilikua naifukuzia. Stori ni hivi hii pisi ni muigizaji wa tamthilia huwa inarushwa Dstv ni kazuri kadada kanavutia. Nilizama dm insta akawa anavunga kama haoni txt zangu, kwenye bio yake alikua kaweka username ya snap ndo nikaamua nikaendeleze mabomu huko, good news aliingia 18 ila anataka nimpeleke five starr hotel.
Aisee huko snapchat ni hatarii sana warembo wanajiachia huko sio poa, wanawake wanajiuza nje nje bila AIBU ni dau lako tu kuna warembo wa kila aina, huko ndo wala bata wanapost ushenzi wao. Nime dm warembo nane ila kati ya hao watano walikubali, wawili walikua sitaki nataka uyo mmoja ndo alinitukana kapost yuko uchi nikazama dm nikamtext” for one night how much?? Akanitukana na kuniblock juu nikamwambia sasa unapost uchi unamaanisha nini??.
Kuna uyo mrembo mmoja ndo aliniacha hoi amekazana anataka 500k kumla tu. Hapo anakwambia lazima umtoe na out sehem kali nikasema huyu mwanamke ana akili kweli?? Anaijua laki 5 kweli.
Vijana mna spidi ya kuhonga yaani Papuchi imefika 500k?? Tuta jenga kweli??
Nimeamua kufuta hii App kama kipindi cha week mambo niliyoona ni balaa sio poa.