Najihisi mimi ni mtu mwenye roho mbaya sana

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
354
1,843
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.

Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume anitukane huyo mwanaume simjui ila alinambia usipike simu hii tena akakata simu from there moyo uliingia baridi, baadae yule dada aliniomba msamaha kua ni hasira tu na yule jamaa hana issue nae na uchumba ulikua unafahamiki kwetu na kwao tukaitwa kikao kusuhishwa nikakubali kumsamehe lkn kila nikikumbuka ile sauti ya yule mwanaume moyo ukawa unauma upya nikashindwa kuendelea nae.

Hata katika maisha ya kawaida awe ndugu au rafiki akinikosea pakubwa saana ambapo sikutegemea afanye hivo kumsamehe na kurudisha ile imani ya mwanzo siwezagi kabisa.

Mwanamke tukisha achana hata kesho nimuone na mwanaume mwingine moyo wangu haustuki hata kidogo nikiondoka nimeondoka.

Ikuwa rafiki au ndugu tukigombana tukaachana hata niwe na shida ya vipi na najua unacho siwezi kukulilia shida yangu nakua nipo radhi kulala njaa kuliko kumlilia shida mtu ambae hatupo sawa tena.
 
Maisha ni magumu sana ndugu zangu..

Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.

Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
 
Jikubali..hakuna mtu mbaya...jipende kwanza mwenyewe🥰
 
Maisha ni magumu sana ndugu zangu..

Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.

Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
Kwahiyo ukiongea Ni kana kwamba unafoka au.
 
Kwahiyo ukiongea Ni kana kwamba unafoka au.
Hapana ila it cms naongea kila kitu kwa msisitizo regardless ni utani.
Nakumbuka mshkaji wangu mmoja tukiwa first year nilikaa nae room 1 hostel for 1 year siku moja akanambia "wewe Rabonn inabidi mtu akujue sana vingenevyo watu hawawez kuishi na wewe licha ya kwamba huna shida kama unavyosomeka...ahahah
 
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.

Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume
Mkuu Mimi ni mtu mmoja mwenye huruma sana,, kuna muda hadi mama na baba huniambia sipaswi kuwa hivyo, huruma ikizidi inakuwa sio kitu kizuri sababu huwa najikuta ninajali sana, mtu akinikwaza hata kama Nina haki ya kumpa adhabu najikuta nimeshindwa tu sababu nikiwaza baada ya kumuadhibu ntajikuta naumia sana na kujutia..

inafikia time kwenye vimishe vyangu (natumia ujuzi kuingizA pesa) nakuwa namhurumia sana mteja kwa kuweka bei chini sana Ili kutoa huduma kutokana na kumhurumia,, hii kitu inantesa..

ila kuna kipindi nikikwazika seriously (machukizo yakinizidia) huwa nagundua Mimi ni katili sana, roho ya huruma ikintoka kulingana na machukizo aisee, huwa sinaga majuto na kile nitachofanya,, katili sana! Sasa nashindwa kujua ukiwa na huruma sana upande wa pili lazima uwe na roho ya kikatili kwa kiwango hichohicho?? Mshana Jr
 
Maisha ni magumu sana ndugu zangu..

Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.

Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
Nop a real man safi wewe ni rafiki
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom