Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Habarini za jioni wana jamii wenzangu, Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana...
42 Reactions
462 Replies
130K Views
Sina maneno mengi Sifa zangu: 25yrs Maji ya kunde Sina kazi Muislam Ninayemhitaji: Kuanzia 28-32yrs Rangi yoyote Awe na chochote cha kumpa rizki Muislam Karibuni
16 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wadau... Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe. Sifa. Awe muislam Miaka kuanzia 40...
12 Reactions
130 Replies
9K Views
Nipo dar ,Nina miaka 27 ,nahitaji msichana mcha Mungu , sichagui dini japo akiwa mkristo itakuwa vema zaidi , awe na umri 18-30 , Elimu sichagui , nahitaji wakujenga nae familia na kuoana kabisa...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Mimi ni mwanamke wa Kitanzania nimeajiriwa taasisi ya kiserikali lakini kutokana na kusoma nimechelewa kupata familia nahitaji mwanaume mwenye nia ya kuwa na mke asiwe mume wa mtu asiwe chini ya...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari Wana Jf, Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi; - Mkristo -Miaka 31 -nina mtoto mmoja -Degree moja -muwazi na...
6 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari zenu JF users, Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua. Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu. Akiwa...
7 Reactions
77 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga. Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cheers [emoji1635][emoji1635] [emoji481][emoji481][emoji482] Niko maeneo ya Moja moto Moja baridi. Kuna mambo nayakumbuka nabaki kucheka tu yaani. Nakumbuka miaka ya nyuma wakati bado...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu kuna kademu kamoja kajirani kangu ni kazuri kinoma ni kasukuma, haka kademu uwa kanakuja kwangu kuniomba muvi sasa cha ajabu uwa kanagoma kuingia ndani. Nina mawasiliano nacho kama siku 4...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Nisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious. Nina umri wa miaka 28, sijawahi kuwa kwenye serious relationship. Natamani sana nipate mdada tupendane ila ndio...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo...
22 Reactions
146 Replies
7K Views
Nimepata likizo ya kikazi ya siku 28 nikasema ngoja nitumie hii likizo kupima Imani ya mtu ,sasa hii ni wiki ya 3 tangu nilipomwambia wife nimefukuzwa kazi, ndani ya wiki 2 za mwanzo alijifanya...
24 Reactions
107 Replies
8K Views
Mwanaume yeyote anayeelewa maana halisi kabisa ya kuoa, hapaswi kuthubutu kumuoa mwanamke ambae tayari ana mtoto hata kama mtoto huyo alimpata kwa bahati mbaya. Labda kama mzazi mwenzake...
13 Reactions
97 Replies
35K Views
Ni Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali? Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama...
0 Reactions
16 Replies
856 Views
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama...
16 Reactions
82 Replies
4K Views
Kwa madogo huenda msielewe hili, basi kaeni kwa kutulia tujifunze. Wewe ni Baba umeoa mke mwenye mtoto/watoto, au nawe ukiwa na watoto tayari kwa mama mwingine. Au wewe ni mama umeolewa na baba...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu...
14 Reactions
172 Replies
12K Views
Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi. Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Hivi kufanya imagination kwa sisi wanaume unapokaribia kutoa wazungu kuwa una Lucy wakati mpo na Neema sio uzifu? Hata wanandoa wengi utamu ukikolea huwa wanapiga imagination kuwa Wana mtu fulani...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom