Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,622
Reaction score
27,310
Nipo dar ,Nina miaka 27 ,nahitaji msichana mcha Mungu , sichagui dini japo akiwa mkristo itakuwa vema zaidi , awe na umri 18-30 ,

Elimu sichagui , nahitaji wakujenga nae familia na kuoana kabisa .

My contact 0693 651136
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom