Ila maisha haya, dah!

Makuzamkumbo

JF-Expert Member
Mar 8, 2023
501
514
Cheers

Niko maeneo ya Moja moto Moja baridi. Kuna mambo nayakumbuka nabaki kucheka tu yaani.

Nakumbuka miaka ya nyuma wakati bado najitafuta niliishi nyumba fulani ya kawaida sana uzio wa mabua ya alizeti.

Sasa nyumba inayofuata aliishi bwana mmoja (Hawa wanajiita sijui wachungaji wa kilokole) na mke wake.

Kuna siku nilirudi mapema kidogo yapata 12:30 jioni kagiza ndio kanaanza, nikiwa najiandaa kuingiza bafuni naskia minong'ono ya mwanamke na kidume sasa ubongo ukanilazimisha niikazie uangalifu nikasogea karibu kabisa na uzio nikawa naskia vizuri kabisa.

Kumbe muhuni kambananisha mke wa pastor ila bibie bado anasita anasema “jamaa atatukuta bwana ndiyo mida yake ya kurudi hii”, jamaa kakomaa "hamna bana si kimoja tu chap hapa hapa ukutani"

Baada ya vuta nikuvute Kwa muda nafkiri jamaa alifanikiwa maana sikuskia tena minong'ono badala yake naskia miguno tu na sauti zisizoeleweka baada ya muda kimya kidogo, na baadaye namskia jamaa anasema "twende ndani huko kwani Nini bwanaa" ila sikuskia jibu la bibie badala yake naskia kama watu wanakokotana baadaye bawaba za mlango zinalia chwiiiiii chwiiii ila skujua kilichoendelea Mimi

Basi nikaendelea na mambo yangu maana kwanza hayo hayakua yananihusu ni kiherehere changu tu ila ilikuwa kila nikikutana na baba mchungaji kijana nilikuwa naskia kucheka tu huku nasikitika.

Jamani maisha haya dah! Anyway acha mimi niendelee kupata
 
IMG_5596.jpg
 
Cheers

Niko maeneo ya Moja moto Moja baridi,

Kuna mambo nayakumbuka nabaki kucheka tu yaani

Nakumbuka miaka ya nyuma wakati bado najitafuta niliishi nyumba Fulani ya kawaida sana uzio wa mabua ya alizeti

Sasa nyumba inayofuata aliishi bwana mmoja (Hawa wanajiita sijui wachungaji wa kilokole) na mke wake.

Kuna siku nilirudi mapema kidogo yapata 12:30 jioni kagiza ndio kanaanza, nikiwa najiandaa kuingiza bafuni naskia minong'ono ya mwanamke na kidume sasa ubongo ukanilazimisha niikazie uangalifu nikasogea karibu kabisa na uzio nikawa naskia vizuri kabisa.

Kumbe muhuni kambananisha mke wa pastor ila bibie bado anasita anasema

"Jamaa atatukuta bwana ndiyo mida yake ya kurudi hii" jamaa kakomaa "hamna bana si kimoja tu chap hapa hapa ukutani"

Baada ya vuta nikuvute Kwa muda nafkiri jamaa alifanikiwa maana sikuskia Tena minong'ono badala yake naskia miguno tu na sauti zisizoeleweka baada ya muda kimya kidogo, na baadaye namskia jamaa anasema "twende ndani huko kwani Nini bwanaa" ila sikuskia jibu la bibie badala yake naskia kama watu wanakokotana baadaye bawaba za mlango zinalia chwiiiiii chwiiii ila skujua kilichoendelea Mimi

Basi nikaendelea na mambo yangu maana kwanza hayo hayakua yananihusu ni kiherehere changu tu ila ilikuwa kila nikikutana na baba mchungaji kijana nilikuwa naskia kucheka tu huku nasikitika.

Jamani maisha haya DAH! Any way acha mm niendelee kupata
Unapiga bapa hapo ulipo?
 
Miaka fulan 2004 hivi, tuko kijijin likizo.

Siku Moja naenda kumpelekea Mchungajiwa Ng'ombe Chakula.

Nakatiza kakichoro kaporin ,nikawa nasikia mwanamke analiaa analiaa , nikasimama nikasikilizia Kwa Makini mpaka nikapata location inapotokea sauti.

Nikanyataa nikanyataa nikawashihudia, ni Mke wa Jirani fulan analiwa na Jamaa Mmoja wa mtaani pia.

Nikapiga kelele .."huyoooo Mke wa mtu naenda kumwambia mumee wako "

Wajamaa walikurupuka balaa, Kila Mmoja alipita njia yake!!

Nikaenda pale walipokua wanafanyia Ngono, nikakuta mwanamke kasahau chupi .

Daaahh kama sekunde Kadhaa, lijamaa likarudi na panga linanifukuzia, eeeegh nilitoka ndukii kurudi nyumban, na Msosi sikumbuki ilikuaje, nilifika nyumban na Visonzo tuu ,hamna ugali Wala mboga 🤣

Watoto wa kishua kisonzo ni kama hotpot ila ni zakijadi zaidi.
 
Miaka fulan 2004 hivi, tuko kijijin likizo.

Siku Moja naenda kumpelekea Mchungajiwa Ng'ombe Chakula.

Nakatiza kakichoro kaporin ,nikawa nasikia mwanamke analiaa analiaa , nikasimama nikasikilizia Kwa Makini mpaka nikapata location inapotokea sauti.

Nikanyataa nikanyataa nikawashihudia, ni Mke wa Jirani fulan analiwa na Jamaa Mmoja wa mtaani pia.

Nikapiga kelele .."huyoooo Mke wa mtu naenda kumwambia mumee wako "

Wajamaa walikurupuka balaa, Kila Mmoja alipita njia yake!!

Nikaenda pale walipokua wanafanyia Ngono, nikakuta mwanamke kasahau chupi .

Daaahh kama sekunde Kadhaa, lijamaa likarudi na panga linanifukuzia, eeeegh nilitoka ndukii kurudi nyumban, na Msosi sikumbuki ilikuaje, nilifika nyumban na Visonzo tuu ,hamna ugali Wala mboga
 
Bwana wee sikuhiyo nimekaa kikao cha familia na masista zangu kila nachochangia naonekana nachangia pumba nikamwambia mzee mm kila nalotaka kusema kama mnaninyamazisha kusema kwamba mi ndo naongea pumba kuliko wote au vipi sijaelewa, aisee nilistukia kelbu moja matata imetua kwenye shavu "kuwa makini unapoongea na ujue unaongea na nani" baba akanitolea namba, nikanyanyuka na wenge langu nikamwambia mzee najua mnanizarau kwakuwa mimi sina kitu najua dada zangu kikao kikiisha watakutoa hata miyekundu kadhaa ila mimi unajua kabisa sina ndo maana unanizarau ila siku moja na mimi nitaheshimika tu, nikatoka nikasepa. Mpaka leo sina mahusiano mazuri na mzee hata sasa anapotaka ukaribu na mm naona tu kama ananisogelea sababu maisha yangu yamebadilika kiasi, nikifikiria ile siku hata kama nilichoka vp napata nguvu zaidi ya kutafuta pesa
 
Comment imepotea
 
Walokole wanaongoza kwa kulana kisela kuliko madhehebu mengine yeyote.

Na ukioa mlokole ujue umeolea wanajumuia wenzie na baba mchungaji.

Kwenye mikesha yao wanatafunana kama wana akili mbovu. Wakimaliza wanafanya maombi ya kutubu.
Dah! Ya kweli haya boss?
 
Utapata dhambi kwann ukumuambia baba mchungaji?
Weweeeeeeeeee Kwa ushahidi upi?

Yananihusu Nini?

Baba mchungaji aliniambia Nina pepo na anavyompenda wife wake?

Bibie akimwambia pastor nilimtaka akakataa ndio maana naleta majungu?

Naomba tuhishimiane boss
 
Back
Top Bottom