kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 948
Wakuu kuna kademu kamoja kajirani kangu ni kazuri kinoma ni kasukuma, haka kademu uwa kanakuja kwangu kuniomba muvi sasa cha ajabu uwa kanagoma kuingia ndani.
Nina mawasiliano nacho kama siku 4 hivi jana nikakiambia naumwa asubuhi kamenipigia na kunipa pole nikakiambia leo nikione nimekumiss kakajibu ntakuja na mimi nimekumiss, kweli kamekuja kuniona ila kama kawaida kanakaa nje.
Wakuu nitumie mbinu gani kukapata,
Maana nimeogopa kukatongoza mapema.