Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

VIPI Shangazi? Nimeachana na mpenzi wangu baada yake kubadilisha ghafla mienendo yake. Tulipoanza uhusiano wetu, mpenzi wangu alikuwa mwanamke mwenye heshima sana kwangu, lakini wakati fulani...
1 Reactions
9 Replies
982 Views
1. Watu Majani 2. Watu Tawi 3. Watu Mizizi WATU MAJANI: Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Kumekuwa na makelele ya vijana wakisema ndoa ni wizi, utapeli na kupotezeana muda nk. Ndoa za sasa ni tofauti kabisa na ndoa za zamani, mama na baba zetu walidumu kwenye ndoa kwa muda mrefu bila...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndiyo group pekee ambalo wameweka kukaa nami miezi miwili. Wamejitahidi sana ila nadhani wamefikia hatua wameshindwa Mimi mwenzenu haya magroup ya whatsapp huwa simalizi week moja. Wanani remove...
15 Reactions
46 Replies
3K Views
Mwanamke aliyewafahamu wanaume, na hakuna mwanaume aliyechomoka kwake. Aliwezaje? Alifukuzwa nchini kwake, lakini alikuja kuwa Malkia wa nchi ile ile aliyofukuzwa, Aliwezaje? [emoji419] Mwaka 48...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee...
21 Reactions
56 Replies
4K Views
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa...
11 Reactions
183 Replies
15K Views
Nimefanya uchunguzi mdogo(simple research) hapa kitaa ninapoishi na maeneo tofauti tofauti pamoja na kwenye social network, nikagundua sababu kuu muhimu zinazofanya baadhi ya wanaume kukataa kuoa...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Wengi wenu nadhani mshawahi kukutana na pingamizi za ndugu na wazazi linapokuja suala la kuolewa au kuoa mtu fulani ambaye ni mtu wa jamii tofauti na yako namaanisha kabila tofauti. Mambo haya...
6 Reactions
222 Replies
29K Views
Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu. Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja. Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi...
41 Reactions
108 Replies
11K Views
Eid mubaraka wanajamvi.... Iko ivi nina mademu watatu kila moja anaplay nafasi yake bila kujuana.. Shida inakuja kila mmoja anataka nimuoe au nimzalishe mi nawaambia muda bado na sijajipanga ivo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Eti mume anaondoka asubuhi na msitu akirudi usiku hana, kanyolewa na mchepuko? Aloo mtatuua nyie wababa
8 Reactions
313 Replies
12K Views
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa...
4 Reactions
77 Replies
5K Views
Wasalaam ndugu zangu..... Mimi ni mwenzenu wa humu humu, yamenikuta yakanishinda ndo maana nimekuja kupasukia humu angalau nipate kupona psychology. Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, huyu...
3 Reactions
142 Replies
17K Views
Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga...
13 Reactions
101 Replies
5K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha. Sifa zangu: Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi. Sifa za nimtakaye; Mwanaume miaka...
33 Reactions
79 Replies
13K Views
Anahitajika mke chini ya miaka 32, awe mnene kiasi, Popote alipo, Namba hiyo hapo 0764125128
4 Reactions
63 Replies
3K Views
Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup Kwa Msaada wa Google Translator: Umaarufu na utajiri...
31 Reactions
198 Replies
15K Views
Nmeona nitoe mrejesho JF is full of matured women if you look well you can find yourself a very beautiful wife in here just be a man of focus and nini wataka i mean stay focused on your goals ...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom