Ni zipi faida na hasara za ndoa ya mkataba?

Ni zipi faida na hasara za ndoa ya mkataba?

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
889
Reaction score
2,806
Mimi nimekuwa nikijiuliza maswali muda mrefu sana, kwanini Wazungu tu ndio hilo swala la ndoa za mkataba ndio wamelipa kipaumbele sana kuliko sisi Waafrika?

Na hilo suala mimi nimekuwa nikilisikia juu juu tu, na sijawahi kuelewa sana maana yake na wao wazungu wameweza vipi hadi kufikia hapo?
 
Kwanza kwa Sasa kutokana na movements za kudai usawa, ndoa Ni Very theoretical. Katiba mpya ipatikane ili itambuwe mchango wa mwanamke katika Ndoa. Siyo Wanadai 50/50 na bado hawataki hela zao zinunue sukari
Screenshot_20230423-144523.png
 
Kwanza kwa Sasa kutokana na movements za kudai usawa, ndoa Ni Very theoretical. Katiba mpya ipatikane ili itambuwe mchango wa mwanamke katika Ndoa. Siyo Wanadai 50/50 na bado hawataki hela zao zinunue sukariView attachment 2599093
Huyo mkuu wa jinsia kama kweli hayo maneno hapo ameyasema kwa kinywa chake basi akapimwe jinsia yake.

Hata kama ni hivyo ni aibu kwa mwanaume kutamka hivyo hadharani na inakera ilibidi atoe nafasi kama kuna stuff wa kike ktk hiyo taasisi ndiyo ayatamke maneno hayo
 
💯
 
Back
Top Bottom