saimoko
Member
- Dec 25, 2022
- 37
- 28
Habari wana jf naiman wote tuwazima wa afya, nitumie fursa hii kuwapa pole na majukumu yetu ya kila siku bila kumsahau aliyejuu kwa fadhili zake.
Wanajamvi nimekuja kwenu nahitaji msaada, mm ni kijana wa miaka 33 ni mfanyabiashars zangu. Kiukweli nimefika umri ambao nahitaji kuwa na mahusiano kwa maana ya mke na mume. Na family kiujumla kuwa na watoto. kwan tayr najiamini kuwa naweza. Sasa basi...kuna mabinti Wapo wawili.ambao ndio target kwa sasa, kitu ambacho sasa kimepelekea kuja huu Uzi hapa......
Binti mmoja kati ya hawa wawili. anatokea Tanga ni binti wakawaida kwao kiuchumi, elimu yake form anaishi maisha flani yakukaa kwa ndugu yake. Amekuwa kama house girl MTU wakusaidia kazi ndani. Tatizo nn sasa shida ndugu n moja binti huyu anamdomo sana (anaongea sana hasa matusi), mambo mengine fresh.
Na huyu wapili ni ametoka family ambazo kiuwezo at least wako vzr, elimu yake ni deploma, hana mambo mengi licha yakwamba kwao wanauwezo kuliko family yangu.
Shids yake ni moja ni MTU wa visingizio sana, kwa neno nimechoka.
Sasa wanajamvi naomben msaada ni yupi, hapa nimefatlilia malezi wote wamelelewa na mzazi wa kiume na wakike, koo zao at least yan plsss?
Nipeni Masada.