Aliemaliza form 6 kabla ya matokeo anaweza akaolewa?

Ikiwa mtoto wa kike ameshamaliza mtihani wa kidato cha sita kabla ya matokeo ya mtihani anaweza akaolewa? Naomba kujua
Mkuu,

Matokeo hutoka ndani ya miezi mitatu tu. Kama umeweza kusubiri kwa kipindi chote, ya nini kujitia majaribuni ndani ya muda huo mchache?

Uhakika ni kuwa, hakuna tatizo lolote tena kwa sasa. Huyo anasubiri kwenda Chuo Kikuu ama Chuo cha kati. Kama wazazi wake wameridhia basi hakuna shaka. Nina uhakika binti aliyemaliza Form Six, kwa mwenendo wa Elimu yetu atakuwa na miaka 18+. Japo wapo wa 16 na 17, hao waepuke kwa muda.
 
Mkuu,

Matokeo hutoka ndani ya miezi mitatu tu. Kama umeweza kusubiri kwa kipindi chote, ya nini kujitia majaribuni ndani ya muda huo mchache.

16 na 17 inamaanisha walimaliza form 4 wakiwa na miaka 13 mpaka 14 hawa huwa very rare ni wale waliovuka vuka darasa na huwa hawapo wengi TUNAONGELEA MAJORITY Ambao wanamaliza 6 wakiwa 19 na 20+.

Hata hivyo tuki assume labda amemaliza six na miaka 16 -17 akaenda chuo unsdhani atakuwa chini ya uangalizi wa serikali?
 
Naam, ni wachache lakini wapo.

Nimesema wazi kwamba kama wazazi wake wameridhia basi hakuna shida hata iwe kwa mila hiyo 17.

Wazazi wasiporidhia wanaweza kukuingiza katika sheria ya kumuoa binti chini ya miaka 18. Yes, sheria ipo wazi kuwa kuoa ni miaka 14 lakini baada ya ridhaa ya Mahakama na wazazi.

Kama wazazi wakiona sawa, serikali haitakuwa na mkono.
 
kimiaka wengi wameshavuka 18, ila ni vema ukasubiri majibu yatoke kabisa
 
Mkuu,

Matokeo hutoka ndani ya miezi mitatu tu. Kama umeweza kusubiri kwa kipindi chote, ya nini kujitia majaribuni ndani ya muda huo mchache.

Uhakika ni kuwa, hakuna tatizo lolote tena kwa sasa. Huyo anasubiri kwenda Chuo Kikuu ama Chuo cha kati. Kama wazazi wake wameridhia basi hakuna shaka. Nina uhakika binti aliyemaliza Form Six, kwa mwenendo wa Elimu yetu atakuwa na miaka 18+. Japo wapo wa 16 na 17, hao waepuke kwa muda.
haifiki miezi mitatu, mwezi wa saba tuhapo matokeo yanatoka, asubiri
 
Back
Top Bottom