Wazee wa chabo

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Mar 31, 2023
2,077
4,673
Nimekumbka miaka fulani mtaani kwetu kulizuka tukio la asiyejulikana mmoja kuwa na tabia ya kuvamia mama na dada zetu mtaani hsa majira ya usiku akiwavizia wakat wa kuoga na mavyumbn mwao, baada ya malalamiko kuwa mengi na sisi vjana wa wakat huo kulaumiwa kuwa tupotupo tu wakati mama na dada zetu wanadhalilishwa.

Bs tukaweka azimio la pmj kuanzsha msako mkali kuhakikisha tunamkamata hyu mpiga chabo, jmbo usilolijua ni km usiku wa kiza wakati tunapanga mipango yetu mwamba kumbe ni miongoni mwetu anatuchora tu ikawa tukianzisha msako anatulia tukipotezea anaibuka tena ikawa ndio mchezo wake.
Ila asikuambie mtu za mwizi ni zile zile 40 Tanzania nzima siku tumepotezea hatuna hili wala lile tumepoa kijiweni km mida ya saa6 usiku dgo wa mtaa anatuibukia na taarifa kuwa dirishani kw dada flani Kuna mtu anapga chbo.

sisi: leo kanasa hyu tukagawana mitaa makundi 2 wa3 wazungukie juu watatu tuanzie chini tumbananishe kati km mnavyozijua nyumb nyingi za kota ni msitari mnyoofu...... laaahaullah! ile kwenda kumkurupusha anageuka jina la kwnza kuita la kwngu oya wakuperuzi!
Pozi zilituishia maana mwana anamalizia kututaja majina tulioko pale wote.
Kifupi ni mwenetu mtaani na ni mdau wa kijiwe jingine la kusikitisha mwana ni muajiriwa jeshi la magereza ikabidi tumkaushie ila toka wakat huo alituhama kijiwe mpaka mtaa
 
IMG_6912.jpg
 
Back
Top Bottom