Criteria;
~ Age: 23-32
~ Shape: Neither fat nor thin,with 8 figure will be given first priority
~ Colour: Natural White or black
~ If is a single mother, should have not more than one kid.
~ Not...
Habari wana JF,
Mimi ni mpya hapa, niseme wazi kuwa nimejiunga leo kwa sababu moja tu kutafuta mke bora/mwema/ aliye tayari.
Wasifu wangu;
Dini: Mkristo
Umri: 45
Mkoa: Mbeya
Familia: Watoto...
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu...
Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki.
Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha...
Naomba ujumbe huu ufike tuokoe vijana na mabinti, ndoa, na mahsiono hali ni mbaya sana.na sio fair kabisa.
Upishi wa penzi na tendo ni Jambo asilia na ni vema libaki kuwa asilia.
Matumizi ya...
Ni pesa, pombe, nyege, na ujana ndizo zilinipoteza. She was a hooker and I became her regular client. With time nikaona nimepata kitu ya kukula kula at a small fee without the baggage of marriage...
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni. Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee...
Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa.
Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba.
Jioni hii nimefanikiwa kumpima...
Wakuu Salam,
Kuna ndugu yangu ananiomba ushauri kwamba mke wake amejifungua ila anahisi mtoto si wake, hivyo anataka kupima DNA ili ukwel ujulikane.
Nimemwambia kama utani, kwamba wewe unajua...
Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa.
Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha...
Hello
Bila kuwapotezea muda ndugu zangu
Nahitaji mature woman
-Aged 30-40 ambaye ni very intellectual
-Mwenye focus katika maisha akiwa mcha mungu it's go point for me but
-Asiwe mtu...
Habari za asubuhi Jambo Forums!
Wengi nimeshuhudia wakisemwa vibaya kwenye mikusanyiko mbali mbali kwa sababu ya kutosalimia aidha kwa bahati mbayaau makusudi.
Hivi kwa nini imefika kipindi ni...
Wakuu,
Kuna Mwanamke flan Ni rafk yangu tumeshibana haswa, Kuna kipind nilipata Changamoto mwenzetu mmoja Alikua na Deni benki na wadau pesa imekata nyumba ya mwenzetu inapaswa ipigwe...
Habari wakuu,
Kuna watu wanamtindo wa kujaamiana na watu wasiowaamini kwa Mara ya kwanza au pili bila kondom halafu anaenda mbele kujilaumu au anajialaumu kesho yake, baada ya siku kadhaa anajipa...
Hizo ni mishe gani bro???
If you still bilieve in smashing many puss**s, Stupidity, You still brag bout f*ckn every girl you come Across🖕
Imagine you get a wife who has been f*ckd by more than...
Katika ulimwengu wa leo, wanadamu tunapambana na vikwazo anuai. Mara tu baada ya kuhitimu vyuo, tunajikuta ghafla tupo kwenye ulimwengu wa kutafuta ajira ama shughuli ya kuingiza kipato, maeneo...
Kwa akili timamu tatizo la usingle kwa muda mrefu, hupeleka lawama nje na kulifanya tatizo katika mfumo wa mechanics. Nipo single kwa sababu pamoja na kuishi mjini na sehemu yenye watu wengi...
Bila shaka title inajieleza,
Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke).
Swali, je, nikweli...