Out thereee wakuuu
Rajabu kahali born in Chitoholi Mtwara Tanzania, anadai siku hizi wanamuita tembo, Jeshi, Teacher Konde kwenye moja ya interview yake miaka isiyopungua 6 iliyopita anakiri...
Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani.
Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili...
Kichwa cha uzi kinajieleza.
Guys, nafikiri hawa wanawake sasa tuwapumzishe, this is too much maana halipiti lisaa limoja uzi kuhusu mwanamke uko posted. Na kibaya zaidi ni wanaume ndio wanalia...
Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie.
Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea...
Ni maneno yalio tolewa na binti mmoja mwenye uzuri wake. Na sauti flani hivi ya kibez ikiwa na mchanganyiko na mahaba ya kudeka.
Huyu ni binti ambae nilikutana nae katika harakati za kula maisha...
Watu mwanzo wanapendana na kuishi vizuri mfano mume na mke, boyfriend na girlfriend.
Lakini inafika kipindi inaibuka chuki na visasi kati yao baada ya sintofahamu fulani kutokea kati yao.
Watu...
Tabia hizi hazina matokeo mazuri, yale unayotarajia upate. Utahisi ukifanya hivyo itakusaidia kumpata mwanamke. Lakini zina matokeo ya tofauti. Zinamfanya asikupende zaidi.
Kwa upande wako utaona...
"Nimemfukuzia muda mrefu, amenizungusha sana kwa kutoa visingizio vingi, mfano mimi bado mdogo, siko tayari kwa ndoa, ngoja nitafakari n.k. Hivi karibuni kafunguka na kusema hayuko tayari kuolewa...
Kazi iendelee... adumu mama yetu H.E President DR. Samia Suluh Hassan!
Toka ukiwa kidato cha kwanza mpaka cha nne, ulishuhudia wenzako wenye nazo ama kutoka familia zenye nazo walivyokuwa...
Kazi na iendelee! JF humu haipiti week bila ya kusoma uzi wa "bro" akilia lia kuhusu kuumizwa na mke wake au mchumba ambaye anatarajia kumuoa.
Hii ni red light kwa wadogo zenu ambao nasi tunakuja...
Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi...
Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike.
Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki...
Wakuu,
naandika Uzi huu kwa masikitiko makubwa sana.juzi kati kuna wageni wangu flan walipata matatizo Hapa mjini, ikanilazimu niache shughuli zangu niwape ushirikiano kushughulikia Tatizo lao...
Nimekuwa Teja la kutupwa la matako makubwa ya wanawake. Popote ninapoyaona napagawa nakuduwaa ni kama nimepigwa shoti na umeme.
Nipo tayari nifanye lolote Ili niishie kuyaminyaminya. Na sasa hivi...
Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea...
Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu...
Nimechoka sana.
Jumamosi nilikwenda barber shop moja hapa jijini. Pale nilikutana na hostess mmoja aliyenipokea kwa kunichangamkia sana
Nikaingia na kuanza kunyolewa... sasa wakati kinyozi...
Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi.
Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo.
Mwanamke ukimpa hela...
Katika maisha, tunakutana na Watu wapya wenye Tabia na sifa mbalimbali ambazo kwa namna moja ama nyingine huweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu, aidha katika hali chanya au hali hasi.
Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.