Nimeharibu sana nusu kifo pale gest nimekimbia

Nilikua nachati na mke wa mpangaji kumbe wife alidaka simu akawa a nachati na mimi ahadi Mida ya jioni tukutane gest.. Lahaulaa kumbe anakuja wife dadeki mtiti ule siwezi rudi maskani nipo huku mtaa wa 4 naombeni ushauri. Kule skani jamaa atanifikiriaje kwa wife wake.
Chai masala
 
Anza tu kulia.
 
Tatizo liko wp hapo km kaja wife muambie tu leo tunabadilisha mazingira au unasemaje wife
 
Nilikua nachati na mke wa mpangaji kumbe wife alidaka simu akawa a nachati na mimi ahadi Mida ya jioni tukutane gest.. Lahaulaa kumbe anakuja wife dadeki mtiti ule siwezi rudi maskani nipo huku mtaa wa 4 naombeni ushauri. Kule skani jamaa atanifikiriaje kwa wife wake.

Umelikoroga linywe master, balaa lako lasolve mwenyewe ndio uanaume
 
We nenda na akikuuliza ruka futi nyingi tena kuwa mbogo kabisa amsha mtiti wa hatari mwambie hujui kitu
 
Kwanza usikubali. Kataa katukatu. Narudia tena, kataa jaaangu. Hata hiyo namba sema siyo ya kwako na hujawahi kuitumia. Yaani ukifika home ni kukataa tuu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom