Katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi, suala la mipaka na uhuru limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu. Baadhi ya watu wanaamini kwamba mapenzi yanapaswa kuwa na mipaka ili kuheshimu maslahi na...
Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana...
Wakuu salama?
Naomba msaada wa kujua huyu binti anashida gani.
Niko hivi niko na binti mmoja kwenye mahusiano sasa shida inakuja binti huyu nikimwambia aje home anakuja lakini akifika...
Nimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita.
Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana.
Yote hayo hutokea kwenye...
Najua wote.mnaendelea vyema.. nami hiyo ndo furaha yangu kuona mnaendelea vema kwenye nyanja zote
Mimi ni msiri kiasi chake,na mara nyingi upenda utulivu hasa nikiwa naoga.. nilikua hoteli...
Hii Dunia ina mambo sna kama HUJATEMBEA huwez kuona mengi,
Kile unachokiona Cha maana Kuna mtu anakipigia deki na kukiacha nje kikinyeshewa mvua.
Kama kuna mwanamke unamuona ni mzuri sana mtaani...
Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa.
Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano...
Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi.
Basi tukadumu na kupeana...
Guten Abend.
Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye...
Babu yangu namsikia kila mara anapo toa ushauri kwa wana ndoa hutumia hili neno mara kwa mara naogopa kumuuliza manaake kwasabb hayanihusu sana nasitaki kuingilia maongezi ya wa kubwa.
Wajuzi wa...
Tunaishi kwenye dunia ambayo BABA ama MWANAUME anaweza kuaga asubuhi anaenda kibaruani ama mishe mishe ili kuipa moyo familia kuwa wataiona siku, japo uhalisia hana anapokwenda.
Tunaishi kwenye...
Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya...
Nahisi km nimeharibu hpa maana baada ya kunitumia msg ya kwnza nikamjibu "sawa usijali" ila msg haikuwa delivered ila imekuja kuwa delivered baada ya yy kutuma msg ya pili, toka hpo nimeharibu...
Wakuu amani kwenu, leo nami nimewiwa na haja ya kutoa mchango wangu kuhusu umri sahihi umpasao binti kuolewa. Mada hii imezua mijadala mingi nchini kwa sasa hasa baada ya viongozi wa kiimani wa...
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia...
Kutoka kitabu desturi za wasuaheli (Waswahili)
Iwapo kijana mboo yake ndogo, huzungumza kwa mganga β ya kama: "mimi Uume wangu mdogo, vijana wanawake wananicheka. " mganga hujibu: "nipe mchele...
Hii imetokea leo mitaa fulan huku Daslam.
Ipo hivii, jamaa na huyo mwanamke ni wapenzi wa muda mrefu sana, mahusiano yao yalifika mbali kiasi kwamba, huyu jamaa alifahamika na baadhi ya ndugu wa...
Kuna kilio kikubwa Kwa wanaume kujilaumu Kwa kutumia dk chache na kufika kileleni na kuacha wenza wao hawajaridhika wawapo kitandani.
Kutokana na changamoto hii Kuna watu wanalishwa midawa hata...