Kisa cha mwanaume na wanawake watatu

Mrope II

Member
May 14, 2023
8
11
Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa.

Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano (1500,000/=). Akawa anafuatilia kila mmoja aone atazitumiaje hizo pesa.

1. Wa kwanza akaenda saluni moja nzuri sana ya gharama, akatengeneza nywele zake vizuri akanunua vipodozi vizuri akajiremba na pia akanunua nguo mpya nzuri. Akazivaa vizuri, kaenda kwa yule mwanaume, akamwambia amefanya hivyo kwa sababu anampenda sana na anataka apendeze muda wote machoni kwa huyo mpenzi wake. Yule mwanaume akafurahi alipomuona.

2. Yule mwanamke wa pili kaenda kumnunulia huyo mwanaume wake zawadi. Kanunua Simu nzuri ya gharama (smartphone), kanunua saa ya gharama, kanunua nguo nzuri na viatu. Alipompelekea hizo zawadi kamwambia "nimetumia pesa yote kununua zawadi zako yote ni kwa sababu nakupenda sana. Mwanaume yule kafurahia sana.

3. Yule mwanamke wa tatu, kachukua zile pesa alizopewa kawekeza kwenye soko la hisa na akapata faida ya Laki saba na hamsini elfu (750,000/=). Akachukua ile milioni mbili na laki tano (2500,000/=) aliyopewa akamrudishia yule mwanaume wake. Halafu ile 750,000/= kaipeleka kufungua akaunti bank ili aitunze na ijizalishe kutokana na riba za biashara ya kibenki. Kamwambia yule mwanaume wake kua amefanya hivyo kwa sababu anataka maisha yao ya baadae yasiwe ya kimasikini ili waishi wote kwa furaha. Kama kawaida yule bwana akafurahi sana.

Yule bwana alikaa kwa muda mrefu sana akiwatafakari wale wanawake kila mmoja alivyozitumia zile pesa.

Mwishoni akaamua kuoa msichana mwenye makalio makubwa.

Taifa hili lina majanga makubwa kwa sasa sijui itakuaje baadae!

Daktari Wa Zamu
 
Wanawake ni vyombo vya starehe , chagua mwanamke utakayemfurahia achana na ngojera sjui anajua maisha na usenge usenge mwingine , wanaume sisi tumeumbiwa mateso na kufa basi .... Unashangaa mwanaume mzima anaanza kumlaumu mwanamke , ewe mwanaume Tambua wanawake wote hawapo Kwa ajili ya kuhangaika, ni luxurious hao , mwanamke yyte akiona kuna upenyo wa kupata luxurious sehemu atakugaragaza tuu akikuheshimu Sana atafanya Kwa Siri ...

wewe kazi yako ni kupambana , kuzaa na kulea familia zen unakufa story yako duniani inaishia hapo
Salute Sana Kwa mwamba Kwa kuchagua tako
 
mchina akikusikia na habari za matako makubwa anakukata panga 😅😅😅😅
 
Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa.

Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano (1500,000/=). Akawa anafuatilia kila mmoja aone atazitumiaje hizo pesa.

1. Wa kwanza akaenda saluni moja nzuri sana ya gharama, akatengeneza nywele zake vizuri akanunua vipodozi vizuri akajiremba na pia akanunua nguo mpya nzuri. Akazivaa vizuri, kaenda kwa yule mwanaume, akamwambia amefanya hivyo kwa sababu anampenda sana na anataka apendeze muda wote machoni kwa huyo mpenzi wake. Yule mwanaume akafurahi alipomuona.

2. Yule mwanamke wa pili kaenda kumnunulia huyo mwanaume wake zawadi. Kanunua Simu nzuri ya gharama (smartphone), kanunua saa ya gharama, kanunua nguo nzuri na viatu. Alipompelekea hizo zawadi kamwambia "nimetumia pesa yote kununua zawadi zako yote ni kwa sababu nakupenda sana. Mwanaume yule kafurahia sana.

3. Yule mwanamke wa tatu, kachukua zile pesa alizopewa kawekeza kwenye soko la hisa na akapata faida ya Laki saba na hamsini elfu (750,000/=). Akachukua ile milioni mbili na laki tano (2500,000/=) aliyopewa akamrudishia yule mwanaume wake. Halafu ile 750,000/= kaipeleka kufungua akaunti bank ili aitunze na ijizalishe kutokana na riba za biashara ya kibenki. Kamwambia yule mwanaume wake kua amefanya hivyo kwa sababu anataka maisha yao ya baadae yasiwe ya kimasikini ili waishi wote kwa furaha. Kama kawaida yule bwana akafurahi sana.

Yule bwana alikaa kwa muda mrefu sana akiwatafakari wale wanawake kila mmoja alivyozitumia zile pesa.

Mwishoni akaamua kuoa msichana mwenye makalio makubwa.

Taifa hili lina majanga makubwa kwa sasa sijui itakuaje baadae!

Daktari Wa Zamu
hahahahahahahahahahahahhaaaaa..........wanaume sisi ni noma sana
 
Back
Top Bottom