Kuna wanawake na wanawakaa manaake ni nini?

Kuna wanawake na wanawakaa manaake ni nini?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,165
Babu yangu namsikia kila mara anapo toa ushauri kwa wana ndoa hutumia hili neno mara kwa mara naogopa kumuuliza manaake kwasabb hayanihusu sana nasitaki kuingilia maongezi ya wa kubwa.

Wajuzi wa jf wenye kutofautisha na kuchambua maana hizo tafadhari.

Hata kama unatoa sifa zao hao wanawake na wanawakaa ni eleweshe plz.
 
c6588a93acd9a864f4f92511f89d7892.jpg
 
Mie mkazi wa Kahama njia ya kwenda Nzega kupitia Bukooba. Huko moshi nafikaje?.
Weka picha acha Story
 
Back
Top Bottom