BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 715
- 1,578
Hii Dunia ina mambo sna kama HUJATEMBEA huwez kuona mengi,
Kile unachokiona Cha maana Kuna mtu anakipigia deki na kukiacha nje kikinyeshewa mvua.
Kama kuna mwanamke unamuona ni mzuri sana mtaani kwako basi ujue Bado HUJATEMBEA.
Kama mke wako unamuona ni mzuri Sana na unamuonea wivu kwa uzuri wake basi uje Bado HUJATEMBEA.
Kama unaona nyumba uliyojenga ni nzuri sana na ni nyumba ya ndoto zako basi ujue Bado HUJATEMBEA