Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,703
Sms ya kawaida sana mbona?Nahisi km nimeharibu hpa maana baada ya kunitumia msg ya kwnza nikamjibu "sawa usijali" ila msg haikuwa delivered ila imekuja kuwa delivered baada ya yy kutuma msg ya pili, toka hpo nimeharibu kutuma msg zaidi ya tatu sijajibiwa.View attachment 2637082
Mbona kama umekazia swaumu? Pigilis msumari mwingine apoNahisi km nimeharibu hpa maana baada ya kunitumia msg ya kwnza nikamjibu "sawa usijali" ila msg haikuwa delivered ila imekuja kuwa delivered baada ya yy kutuma msg ya pili, toka hpo nimeharibu kutuma msg zaidi ya tatu sijajibiwa.View attachment 2637082
ni kitu kidogo hicho, baada ya mda atapotezeaYah sms ni yakawaida ila naona yy ndio kaichukulia tofauti
Makapuku wanashida sanaUkiwa kapuku unakuwa unaishi kwa kujistukia kila dakika