Kutongoza ni mchakato wa kujuana.
Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja.
Mchakato...
Habarini, natuma ujumbe huu nikiwa nje kujitafutia chakula sehemu nyingine.
Ipo hivi, unakuta mwanaume unawajibika kutafuta mahitaji ya ndani, unahakikisha vitu vimenunuliwa na kubalance lishe...
Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia. Leo tutaangazia baadhi ya changamoto hizo na jinsi...
At least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four.
As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.
Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono...
Mahusiano yamekuwa na changamoto nyingi sana, leo unabwagana na huyu na kesho unaanzisha na mwingine.
Ndivyo asili ilivyo, hatuwezi kupingana nayo; muhimu ni kujua na kujiandaa mapema kwenye...
Nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat.
Lakini Kwa upande wa wanaume Upwiru...
Wakuu habari.
Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila...
Habari wakuu.
Bhana 2015 mwishoni, nilipata tukio la kusisimua sana hadi leo najiuliza nini kilitokea.
Tulikuwa Kahama kikazi, Sasa wikiend tukaenda kula starehe kidogo kwenye bar maarufu pale...
Pamoja na kwamba alikuwa ameanza mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam Deo Tegeule alikuwa hakosi starehe kila mwisho wa juma. Alikuwa na kundi la marafiki zake wawili Timothy Haule na...
Mwanaume nnayemuhitaji awe na sifa hizi;
~ Miaka 28 mpaka 35
~ Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
~ Awe mkristo, RC itapendeza zaidi
~ Mkoa...
Hello JF,
Niwakumbushe tu kama mabaharia wenzangu kama unatoka kimapenzi na binti alozaliwa 1998-2003 hasira zako mkopeshe mchungaji, shehe, na kituo cha police.
Jitoe ufahamu endekeza raha...
Hey thereee
Hivi ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu anakuwaza wewe tu mda wote? Kila mda anataka muongee tu? Kila mda anataka ajue upo wap, na nani, kwa nini, mnafanya nini, mpaka saa ngapi...
Kazi iendelee...
Jamani wanaume wenzangu, katika umri huu wa miaka 25 naamua kutoa leo kaliba yangu hii ambayo wengi inaweza kuwastaajabisha kidogo.
Sina hisia za wivu kabisa wala kupiga...
Hbr Wana jamvi........
Natumai mu wazima wa afya, Amen.
Leo naongea na wanaume wote lijali na ambao kesho wanahitaji kuwa na familia Bora yaani familia isiyo kuwa na kizazi Cha ovyo.
Najua...
Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo.
Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu.
Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya...
Habari ndugu zangu.
Mimi sijui na shida gani wakuu, yani nimekua nikipenda sana wanawake weupe au maji ya kunde yani nikikutana na wanawake weupe najikuta na simamisha mkuyenge mara kwa mara na...
Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana.
Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sijamaliza nae...
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni?
Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii...
Kazi iendelee!
"Wrevta unashirikiana na wenzako kweli?" Kauli hii kutoka kwa mwalimu wangu nikiwa sekondari miaka hiyo inanikumbusha machungu mno.
Nikajibu "ndiyo", ila ukweli ni kwamba sikuwa...