Uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu sana hasa Kwa wanaume

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,029
Nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat.

Lakini Kwa upande wa wanaume Upwiru unakaba koo ni vigumu Sana kukaa na mke mmoja huyo huyo.Utakazana utakazana lakini mwisho wa siku unazama kwenye dimbwi la wazinzi.

Maana Kila unapopita wanawake wazuri wanapita pita Hadi unachanganyikiwa.Ukikaa Kidogo mara Ketty hujatulia mara Vanessa hujatulia mara Pamela kidogo hujatulia mara unakutana na Salome au Saraphina.Ni vurugu tu Kila sehemu.Na wote unakuta ni wazuri wamejazia kama sio mbele basi nyuma au kote kote.Unaweza tembea mjini jogoo anawika tu Kila muda.

Kuepusha Shari hili wanaume tunaona isiwe tabu tunatongoza na kupita nao kama kimbunga ingawa Bado tunawapenda Sana wake zetu.Nyie nyie nyie na ukizingatia muda mwingine mke Anadai Hajiskii au anakunyima.Tutakimbilia wapi sisi wadhaifu.

Wanawake watatufanya tule mtaji au tusahau ndoa.
 
Sababu moja ya mtu kuitwa mwanaume ni msimamo.
Kama hutakua na msimamo wa kujizuia kupita na kila mwanamke anaepita mbele yako hilo ni tatizo kubwa na huwezi kujiita mwanaume kamili.
Ndio maana mnapata magonjwa na kufa kwa stress halafu mnakuja kuleta tafiti zenu kuwa wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake. Na bado…..
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yake yawe Safi kwa maana MUNGU atawahukumu wazinzi na waasherati!
Nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat.

Lakini Kwa upande wa wanaume Upwiru unakaba koo ni vigumu Sana kukaa na mke mmoja huyo huyo.Utakazana utakazana lakini mwisho wa siku unazama kwenye dimbwi la wazinzi.

Maana Kila unapopita wanawake wazuri wanapita pita Hadi unachanganyikiwa.Ukikaa Kidogo mara Ketty hujatulia mara Vanessa hujatulia mara Pamela kidogo hujatulia mara unakutana na Salome au Saraphina.Ni vurugu tu Kila sehemu.Na wote unakuta ni wazuri wamejazia kama sio mbele basi nyuma au kote kote.Unaweza tembea mjini jogoo anawika tu Kila muda.

Kuepusha Shari hili wanaume tunaona isiwe tabu tunatongoza na kupita nao kama kimbunga ingawa Bado tunawapenda Sana wake zetu.Nyie nyie nyie na ukizingatia muda mwingine mke Anadai Hajiskii au anakunyima.Tutakimbilia wapi sisi wadhaifu.

Wanawake watatufanya tule mtaji au tusahau ndoa.
 
Nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat.

Lakini Kwa upande wa wanaume Upwiru unakaba koo ni vigumu Sana kukaa na mke mmoja huyo huyo.Utakazana utakazana lakini mwisho wa siku unazama kwenye dimbwi la wazinzi.

Maana Kila unapopita wanawake wazuri wanapita pita Hadi unachanganyikiwa.Ukikaa Kidogo mara Ketty hujatulia mara Vanessa hujatulia mara Pamela kidogo hujatulia mara unakutana na Salome au Saraphina.Ni vurugu tu Kila sehemu.Na wote unakuta ni wazuri wamejazia kama sio mbele basi nyuma au kote kote.Unaweza tembea mjini jogoo anawika tu Kila muda.

Kuepusha Shari hili wanaume tunaona isiwe tabu tunatongoza na kupita nao kama kimbunga ingawa Bado tunawapenda Sana wake zetu.Nyie nyie nyie na ukizingatia muda mwingine mke Anadai Hajiskii au anakunyima.Tutakimbilia wapi sisi wadhaifu.

Wanawake watatufanya tule mtaji au tusahau ndoa.

"nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat"

Hakuna mwanaume anaandika huu ujinga, ni rahisi sana kwa mwanaume kuwa mwaminifu. Endelea na ngono kama umeshindwa sema hapana
 
Nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat.

Lakini Kwa upande wa wanaume Upwiru unakaba koo ni vigumu Sana kukaa na mke mmoja huyo huyo.Utakazana utakazana lakini mwisho wa siku unazama kwenye dimbwi la wazinzi.

Maana Kila unapopita wanawake wazuri wanapita pita Hadi unachanganyikiwa.Ukikaa Kidogo mara Ketty hujatulia mara Vanessa hujatulia mara Pamela kidogo hujatulia mara unakutana na Salome au Saraphina.Ni vurugu tu Kila sehemu.Na wote unakuta ni wazuri wamejazia kama sio mbele basi nyuma au kote kote.Unaweza tembea mjini jogoo anawika tu Kila muda.

Kuepusha Shari hili wanaume tunaona isiwe tabu tunatongoza na kupita nao kama kimbunga ingawa Bado tunawapenda Sana wake zetu.Nyie nyie nyie na ukizingatia muda mwingine mke Anadai Hajiskii au anakunyima.Tutakimbilia wapi sisi wadhaifu.

Wanawake watatufanya tule mtaji au tusahau ndoa.
Cheti cha ndoa hakijazungumzia mzagamuano.
 
Back
Top Bottom