jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Habari ndugu zangu..
Kwa kweli huyu bidada nilimpenda sana ila siku zote za mahusiano yetu alikuwa akiniambia niige wanaume wenzangu kwa kuwa anaona mimi ni mkoloni na ninaitikadi za kizamani zamani na sipo romantic , nilimkatalia nikamwambia siwezi waiga wewe nenda huko unakotaka niwaige mimi siwezi waiga wanaume mwenzangu kama unavyotaka wewe
Yeye kwa utashi wake na kwa dharau sana aliniacha kwa mbwembwe ila sasa hivi ana nililia sana turudiane japo mimi sitaki kabisa kumsikia na sipo teyari kula matapishi napia imani yangu kwangu ni kwamba mimi mwanamke akinisaliti siwezi samahe kamwe hata nielezwe na viongozi wakuu wa dini au wazee wa ukoo au sijui nani sisamehi hata kidogo kosa la usaliti la mwanamke na ndivyo nilivyo ndugu zangu
Sasa kwa kweli sijui huyu mwanamke amekutwa na nini huko mpaka anakua king'ang'anizi cha turudiane ?