Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hawa malaya wamevimba sana mtaani na viduka vyao vya nguo, gari zao za passo na simu macho matatu mnavyowapatia huko. Na wakiwa wanaulizana na mashangingi wenzao wanasema "ni yupi shosti...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumai hamjambo wakuu. Jana nikiwa nimerejea toka kazini tukawa tunapiga stori na wife aliniuliza "hivi mume tumewezaje kumaliza wiki ya 3 sasa bila kukwazana? wakati mara nyingi hata wiki hua...
5 Reactions
97 Replies
13K Views
Ngono kabla ya ndoa ni ubatili, ni ubatili mtupu. Ngono inakupeleka kwenye muunganisho wa kina. Unaunganishwa kwa kemikali na mtu ambaye labda hautawahi kumpenda au ambaye hata sio mzuri kwako...
11 Reactions
72 Replies
4K Views
Jamani naomba wenye uzoefu wenu katika mahusiano na wataalam wa psychology ya binadamu tuelezeani uzuri na ubaya makundi haya mawili ya wanawake. Binafsi naangukia kwa mke /msichana mwongeaji...
12 Reactions
127 Replies
30K Views
Salute Comrades! Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu. Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbalimbali kama vile...
3 Reactions
104 Replies
7K Views
Habari za muda huu wana jamvi. Natumaini wote tu wazima naomba mchue dakika chache kupititia uzi wangu huu kuhusu ujana wangu ili mpate kunisaidia kimawazo. Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba. Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month. Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
9 Reactions
143 Replies
19K Views
Wasalaam, Jana nimepita starpark Morogoro nikiwa natoka DSM kurudi Dodoma nimempigia demu wangu mmoja bahati mbaya yupo kilosa, sasa bhana si nikaingia starpark kula vyombo nikawa natupia Hanson...
19 Reactions
61 Replies
7K Views
Huyu ni mwalimu wangu alie tufundisha somo la hesabu tukiwa form two. Ni madam ambaye alijaaliwa uzuri wake alikua mweupe kapanda hewani na anabonge la shepu yaani sijui hata kwa nn alikua mwalimu...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani. Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Vijana ndo wnawaharibu na kuwakataa, wakishawazalisha wanaanza kuwaponda (single mothers) Wakishachovya chovya huku na kule wanaleta skendo za kuoa bikira. Kulingana na mazingira/maisha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hiyi si stori ya kusadikika ni stori ambayo imemtokea jamaa yangu, picha linaanza jamaa yangu kafungua duka la vifaa vya ujenzi katika kuuza uza, akafanikiwa kujenga, nyumba kubwa tu ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji? Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela...
8 Reactions
141 Replies
6K Views
Huwa nashangaaga sana mtu kapigwa vizinga ama kazungushwa sana halafu siku ya siku dem kaamua au kabananishwa kutoa mzigo, Mtu anajisifia nimekamua sana nimemkomoa, hivi upo serious kabisa...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
guest-1791802738
Mimi ni kijana wa miaka 29 kama kawaida kilo zangu hazipungui ni zile zile 96, Kibonge flani hivi, mweusi, Kitambi cha kufutia simu (Utambulisho tu) Naombeni ushauri jamani. Kuna mdada Nimetokea...
10 Reactions
153 Replies
7K Views
GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao. Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Poleni na majukumu wana wa Mungu! Nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani hapa chuoni kwa kipindi kama cha mwaka mzima mpaka sasa. Mwanzo nilimuona ni binti mstaarabu na asiependa makuu kwani...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom