Mke/msichana muongeaji sana na mkimya na mpole yupi anafaa kwa ndoa?

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,682
Jamani naomba wenye uzoefu wenu katika mahusiano na wataalam wa psychology ya binadamu tuelezeani uzuri na ubaya makundi haya mawili ya wanawake.

Binafsi naangukia kwa mke /msichana mwongeaji maana uzoefu wangu unaonesha nilishindwa kudumu na mademu wapole na wakimya kwa muda mrefu kuliko mademu waongeaji sababu kuu:-

Wasichana wakimya ni
-Wanafiki sana
-Huwa wanavisirani
-Wanalipa visasi
-Wanaweka vinyongo
-Wagumu kusamehe
-Misimamo ya kijinga
-Wanaroho mbaya wengi.

Wasichana/waongeaji huwa ni kinyume cha hayo hapo juu, zaidi wanajua kucare ukiwakuta kwa watu huwa wanamdomo ila kwa wapenzi wao/faragha ni wapole na hufurahi na kuwalaki wenza wao kwa penzi lenye huba la bashasha na kiaibu kwa mbali.

My PAPRIKA ni sampli ya hawa talkative women.
 
naona kila mmoja anamtaja wake! haya wakwangu yupo kati mpole na pia ni muongeaji!
haya nawasubiri wanachaputa sasa sijui watachangia nini!!
 
naona kila mmoja anamtaja wake! haya wakwangu yupo kati mpole na pia ni muongeaji!
haya nawasubiri wanachaputa sasa sijui watachangia nini!!
Bora mkuu wewe, hongera kwa kupata chotara!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom