Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,125
Hiyi si stori ya kusadikika ni stori ambayo imemtokea jamaa yangu, picha linaanza jamaa yangu kafungua duka la vifaa vya ujenzi katika kuuza uza, akafanikiwa kujenga, nyumba kubwa tu ya kuridhisha, alipomaliza ujenzi wa nyumba yake akawa amehamia kwake na mkewe na watoto.
Basi kipindi anaendelea na biashara gafla mambo yakawa magumu, akayumba kiuchumi ile kuyumba akaenda kukopa benki na kuweka nyumba zamana, akaendelea na biashara yake haujapita mwezi, majambazi yakavamia na kuiba kila kitu.
Kaka akawa akili haijakaa sawa ikabidi akimbie kukwepa aibu kwenye jamii kipindi hiko anadaiwa, bank na mke kamuacha pale kwake na familia yake. Umepita muda kidogo bank wakapata taarifa ikawa hakuna jinsi ikabidi watangaze mnada nyumba yake.
Wwali la mada liko hapa, basi akapatikana jamaa akanunua, kilichotokea, mnunuzi kaoa mke wa jamaa na kuishi wote pale pale, na jamaa bado hana taarifa kama mkewe kaolewa.
Sasa ingetokea hivi ungechukua hatua gani?