Habari ndugu zangu..
Nafupisha sana, na jamaa yangu mmoja ameoa single mama pasipo kujua baba wa mtoto wake ni nani japo mwanamke alimwambia jamaa kuwa baba mtoto bado yupo hai kijijini kwao...
Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe
Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
Habari za majukumu ndugu zangu, nipo hapa kuomba ushauri wa kimahusiano natumaini ntapata majibu ya hiki kinachonitatiza.
IPO HIVI
Miaka miwili nyuma niliwahi kuzoeana na mdada mmoja, kiumri...
Habari zenu wakuu
Mm ni kijana wa kiume, katika maisha yangu huwa nashaanga sana kuona kwamba watu huwa wana date. Unakuta mwamaume na mwanamke wako kwenye mahusiano wanaonhea zao na kufanya yao...
Lengo la kuandika uzi huu, naamini kabisa wanajamii forum mlio karibu na the Tanzania sweaty heart (Wema Sepetu) mumfikishie ujumbe huu baada ya juhudi zangu binafsi kugonga mwamba na kuona kabisa...
Amani iwe nanyi,
Naomba mnialike rasmi kwenye jukwaa la huba, mgeni wenu natokea majukwaa jirani hapo, hususan Ajira na Tenda. [emoji28]
Basi, nisikuchoshe, kuna kisa kifupi nitasimulia lakini...
Kumekuwa na hii trend, mwanamke anamwambia mume,mchumba au mpenzi wake mambo yake aliyofanya zamani hasa mahusiano.
Ivi niwaulize wanawake unaponiambia mim mwanaume kwamba umewahi kuwa kwenye...
Muda huo nikiwa darasa la nne saa nane hiyo nimetoka shule narudi nyumbani.kama kawaida nikafika chumbani tua begi la daftari na kuanza kupekenyua viporo vipo wapi huku namuita Dada wa kazi...
Mimi ni mtu mzima nipo hapa Dar kimaisha na nahitaji mwenza ambaye atakuwa mke wangu Mwenyezi Mungu akijalia na awe mkweli na muaminifu na muogopa Mungu na umri asizidi miaka 50 na aliye tayari...
Bila Shaka utakuwa umegundua hii ni mizoga ya makinda ya ndege fulani!
Kwa mtazamo wa kawaida utaungana nami kuwa kifo chao kilitokana na kutokuwepo kwa Mama yao!
Yamkini mama alienda kutafuta...
Picha linaanza unamtongoza anakukubalia, zinapita siku mbili anakuomba hela kiroho safi unampatia, hujakaa sawa baada ya siku mbili mbele kipigo kingine.
Unasema kwakuwa ni mtu wangu ngoja...
Nafikiri hili ni kundi hatarishi zaidi kwa ndoa ama mahusiano, kwa mimi mwanaume katika vitu navyoviepuka sana ni kuruhusu ukaribu wa rafiki zangu ama hata kakayangu na mkewangu, yaani mkewangu...
Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua...
Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako.
Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za...
Habari wadau wa Forum hii,nami naomba kushare machungu niliyowahi kupitia katika mahusiano baada ya kupata ujasiri kwa shuhuda za watu humu JF!
Waswahili wanasema ukijua matatizo ya mwenzako...
Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi (cha afya), akiwa na mchepuko,
Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
Leo week ya pili nimeshindwa kabisa kupokea simu ya Baba mkwe na Mshenga wangu.
Iko hivi katika misoto yangu na kukulu kakala za maisha atimae nikajikuta nimedondokea kwa mtoto wa kichaga Kama...