Mimi nataka tu kufahamu nyie watu mnao date mnawezaje jamani

Comrade21

JF-Expert Member
Apr 27, 2023
386
557
Habari zenu wakuu

Mm ni kijana wa kiume, katika maisha yangu huwa nashaanga sana kuona kwamba watu huwa wana date. Unakuta mwamaume na mwanamke wako kwenye mahusiano wanaonhea zao na kufanya yao.

Kwa kweli kwa upande wangu yaani hii kitu ni ngumu sana sio utani, sijawahii ku date japo huwa nataman sana niwe nami hata niwe na rafike wa kike ambaye nutakuwa nae tu share vitu fulani hv kwenye maisha hapa na pale ila siwezi.

Nilicho kuja kugundua kwangu laba ni kwasababu mm sio mtu sana wa kuongea na pia n mtu mkimya sana, sipend sana kuongea ila ni mtu ambaye nina upendo wa dhati na huruma sema sijui laba ni kauwoga au ndo kwamba kuto kujiamini.

Msaada wenu ni mbinu gani nitumie

Jinsi: kiume
 
Anza kusoma biblia ndio msaada pekee.

Kuna vijana wengi sana kama wewe kwenye bible, Yakobo alikua mtulivu sana, hadi anafanya tendo na msichana kisha mwishoni ndio Anakuja kumtazama Uso kuona Ni nani 😂😂😂
Alikua mpole sana.

Na
Manabii wengi kipindi ni mafala hawana maarifa ya Kumjua Mungu hajui hata kama Mungu anaweza kumsemesha wanakuaga hivooooo tu Kama wewe.
mbele za watu ni speechless 😶 Lakini Ukila Kitabu ukimaliza, Utaanza kuwakusanya Kama Yohana Mbatizaji.
Wanakufata tu mbio mbio jamani tunaomba basi ukatubatize na sisi leo leo. Au nikulipie Nauli twende..?
Na wewe sasa unajibu kwa kuvimba kabisa. basi Jioni tuwasiliane, Mnipitie twende Beach ya .. coco beach 🤣
 
1683889795441.png

Jitahidi bado mwaka m1
 
Back
Top Bottom