Ushauri wenu ni muhimu sana kwenye hili jambo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,456
40,447
Wakuu, habari za mchana?, natumaini wote mko njema!

Kuna siku nilileta uzi humu, uliosomeka; 'nimeutua mzigo mzito jana usiku'

Na kweli nilipitia mawazo yenu, na nikayafanyia kazi. Kutokana na changamoto za hapa na pale, ile pisi kali imeomba kuonana na mimi leo jioni (usiku); na kwa sababu tupo kwenye umbali wa masaa matano kwa gari mpaka kunifikia, imebidi nimtumie nauli ili aje nimsikilize anataka nini.

Na lengo kuu la kuja, ni kwa ajili ya kupata shoo pamoja na mengineyo.

Sasa wakuu, mimi nataka nimalizie hasira zangu zote kwa nyodo alizonifanyia huko nyuma; sasa nitumie vitu gani ili shoo iwe ya muda mrefu, na mzee awe ngangari kweli kweli muda wote?

Ushauri wenu ni muhimu wakuu.​
 
nakupa siri hii, usimwambie mtu yeyote yule, kiboko ya masista duu


1. Piga Nyeto, kojoa
2. Ongeza nyeto kojoa tena
3. Akikaribia kufika, ongeza kingine cha tatu


UTANISHUKURU SANA SANA, huhitaji Mundende hapo
Nikifanya hivyo nitakuwa najitesa mwenyewe, nataka nipige kitu atembee huku akichechemea yaani full rough :D:D
 
Back
Top Bottom