Marafiki ni watu hatari zaidi kuwaweka karibu na mkeo/ mumeo/ mpenzi

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Nafikiri hili ni kundi hatarishi zaidi kwa ndoa ama mahusiano, kwa mimi mwanaume katika vitu navyoviepuka sana ni kuruhusu ukaribu wa rafiki zangu ama hata kakayangu na mkewangu, yaani mkewangu hapaswi kuwa hata na namba ya rafiki yangu and vice-versa.

Kwa mtazamo wangu mwanamke ni rahisi sana kulika na hili kundi hasa akiona 'shemeji' kwa namna fulani yuko superior kulinganisha na mme/mpenzi. JADILI....
 
Nafikiri hili ni kundi hatarishi zaidi kwa ndoa ama mahusiano, kwa mimi mwanaume katika vitu navyoviepuka sana ni kuruhusu ukaribu wa rafiki zangu ama hata kakayangu na mkewangu, yaani mkewangu hapaswi kuwa hata na namba ya rafiki yangu and vice-versa. Kwa mtazamo wangu mwanamke ni rahisi sana kulika na hili kundi hasa akiona 'shemeji' kwa namna fulani yuko superior kulinganisha na mme/mpenzi. JADILI....
Tulia wewe, we wajua kiumbe mwanamke????
 
Hao ni rafiki zako na sio rafiki wa mke wako
Hata nyumbani kwako hakuna ulazima wao kujua

Nafikiri urafiki mwisho shule ya secondary tu baada ya hapo tafuta maisha yako

Acheni kuendekeza marafiki hawana faida
Mimi rafiki yangu hela tu
 
Ukitaka kufa kwa presha ni kuanza kutaka kujua mambo ya mkeo au mumeo, yani kama analiwa naa hujawahi kujua usitake kujua

As long as unahudumiwa kwa nafasi yako bila shida usiatake kulazimisha kujua mko wangapi!!

Tuishi tu!
 
Nafikiri hili ni kundi hatarishi zaidi kwa ndoa ama mahusiano, kwa mimi mwanaume katika vitu navyoviepuka sana ni kuruhusu ukaribu wa rafiki zangu ama hata kakayangu na mkewangu, yaani mkewangu hapaswi kuwa hata na namba ya rafiki yangu and vice-versa. Kwa mtazamo wangu mwanamke ni rahisi sana kulika na hili kundi hasa akiona 'shemeji' kwa namna fulani yuko superior kulinganisha na mme/mpenzi. JADILI....
Uko sahihi kabisa,japo mm nilishatubu ila hiyo kitu ilishawahi kunitokea,
Rafiki yangu alifanya kijisherehe kabla ya kusafiri kikazi na hivyo akaniomba niwe msimamizi wa mkewe kipindi akiwa safarini,
Baada ya kula na kushiba tukiwa nyumbani kwake na jioni hiyohiyo ndio alikuwa anaondoka !
Kifupi baada ya jamaa kuondoka shem akaanza vibweka kila nikiaga ananiambia subiri kidogo,gafla kumbe kaenda kuoga na alivyoingia ndani kabwaga kanga huko huku akipaka mafuta ikabidi nijifanye nimelewa na kujilaza kwenye kochi,
Wazo likaniijia niondoke ile nanyanyuka na kushika mlango nakuta mlango ameulock!!
Nikiwa nimesimama mlangoni nikiomba anifungulie kaja kwa nyuma na kunishika dhakali dah!!
Nilisikia sauti ya shetani ikisema mpelekee moto wewe nami pasipo kujitambua nikamtii shetani kwa muda huo,ikawa imeisha hiyo
 
Yaani ni kama bandari yetu na masharti yaliyomo kwenye mkataba na dipii woludi
 
Maweee
 
Nafikiri jukumu la kumsimamia mkewe ulilitekeleza vyema
 
Ukitaka kufa kwa presha ni kuanza kutaka kujua mambo ya mkeo au mumeo, yani kama analiwa naa hujawahi kujua usitake kujua

As long as unahudumiwa kwa nafasi yako bila shida usiatake kulazimisha kujua mko wangapi!!

Tuishi tu!
Tafsiri ya ulichoandika ni kataa ndoa
 
Back
Top Bottom