Siri 6 (sita) za kuwa na mahusiano mazuri.

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
6 secret code

Ugomvi mkubwa katika kila mahusiano ni kushindwa kushirikiana, na sababu ni umimi au ubinafsi ambao utachukua mimba na mimba ikiisha kukomaa huzaa Magonvi makubwa na mwisho kutengana.

Onyesha uzuri wako na umalidadi wako utapendwa na kila mtu, muovu na apendane na muovu mwenzie, na mwema apendane na mwema mwenzie, Wema haujifichi.

Ubinafsi ambao utokana na Tamaa mbaya za dunia, uvivu, na imani potofu ndio chanzo cha kutokua na upendo kati na mtu na mtu,
unatakiwa kuyaacha hayo kukusaidia kuwa na mahusiano na binadamu mwenzio. Fanya haya :-

01. Ukarimu wa mwili [Bodily kindness]:
Tunaweza kufanya kitu kwa mwili wetu kuonesha upekee wetu.. mfano kipaji au ufundi fulani.
kushare mambo utakayofanya katika maisha yako.. malengo yako ya kimaisha yasiwe siri kwa mwenzio.
Kusaidiana kwa pamoja.. Lazima ushiriki kumsaidia mwinzio katika ndoto hiyo ambayo ni Malengo mazuri ya kujenga maisha.

02. Mtu wa kauli nzuri [Verbal kindness]:
Speak nice and kind.
Lugha tamu kwa mwenza wako kila siku πŸ₯°πŸ˜πŸ˜ ucheshi na Kuelekezana kwa Upole.
Maneno matamu acha ukauzu

3. Wema wa kiakili [Mental kindness]:
Fikra zako ndio Matendo yako,
Fikra zako ndio maneno yako,
Itasaidia kusambaza mtazamo wako kwa Mwenzio na utakuwa mtu wa kueleweka muda wote

04. Shirikiana na mwenzio bila kuficha:
Share everything mfano chakula kizuri usile peke yako, mziki mzuri, maneno mazuri, chochote ambacho unakipenda unatakiwa kushare na mwenzio. ukiacha kufanya hivo madhara yake ni makubwa sana.
Sasa siku ukiwa na huzini na shida moyoni lakini mwenzio anacheka na kufurahi na marafik zake utaelewa nn maana yake.

05. Penda Wema:
Usiwe mwizi, Epuka michepuko, uwongo, Ulevi.

06. Mtazamo mmoja/ Ndoto moja/ Fanya kazi kutimiza Lengo moja:
Kushindwa hili uwakumba hasa wenza ambao mke na mume wote wanakipato.
mfano, mwanaume kupenda starehe sana, na mwanamke kutamani kuwekeza na mtakaposhindwa kufanya jambo zuri kwa pamoja lazima mbeleni magomvi kutokea.

Onyesha kuyafanya haya kwa uwazi kwa mchumba, itakua rahisi kuingia katika Ndoa.
Ukiyaweza haya Utapendeka Sana, mkiyafanya kwa Pamoja Hakuna atakae watenganisha.
and don't forget to Meditate πŸ§˜β€β™‚οΈ πŸ§˜β€β™€οΈ 😍

Ukiyakosa haya matokeo yake ni :-
Chuki zisizoisha ndani ya Nyumba, ubinafsi kukomaa zaidi, uchoyo, ugomvi na mwisho kutengana
Hizi ni Siku za Mwisho "Upendo wa wengi utapoa."

by dr. Surya The Prophet
 
Mkuu

Ukiingia club style ya uchezaji itaanzia humo humo!!

"Tulikua kama mapacha KILA saa tupo pamoja tukishirikiana KWA kila kitu hadi staff waka mind sana!!

Baada ya miaka kama nane mambo safi yamenyooka!ulianza ubinafsi wa ajabu!

HADI leo KILA mmoja hajui mwenzake ana sh ngapi mfukoni,japo tulisha tengeneza life kimtindo!ni kama vile mwenzangu anahisi ANAWEZA ISHI mwenyewe sasa anajimudu" !

Jamaa anampango wa kusepa kuanza maisha mapya!!

No formula kwakweli!!
 
you supposed to know a reason. why she change.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom