Kwanni kila siku naacha na kuachwa

Sep 1, 2018
30
42
Habari zenu wakuu , mimi ni kijana wa miaka 19 ambae nimekutana na matatizo katika maisha yangu ya mapenzi hadi sasa nimeshaacha wanawake 11 na kuachwa mara 2 je nitakuwa na shidabgani maana kama mapenzi nayajua haswa ila chaajabu niambulia kuachwa tu kila siku
Karibuni wakuu
 
swali na umri mbna haviendani
 
Habari zenu wakuu , mimi ni kijana wa miaka 19 ambae nimekutana na matatizo katika maisha yangu ya mapenzi hadi sasa nimeshaacha wanawake 11 na kuachwa mara 2 je nitakuwa na shidabgani maana kama mapenzi nayajua haswa ila chaajabu niambulia kuachwa tu kila siku
Karibuni wakuu
Mapenzi na shule ni chai na mrenda.. soma shule we mtoto kwanza ukikua ndio uje tujadili mambo makubwa kama haya kwa sasa hicho kiatu ni kikubwa kwako
 
Vyuo vinafunguliwa mwezi october mkuu..

Maliza hata chuo kwanza basi ndio upate head ache za mapenzi..
 
Habari zenu wakuu , mimi ni kijana wa miaka 19 ambae nimekutana na matatizo katika maisha yangu ya mapenzi hadi sasa nimeshaacha wanawake 11 na kuachwa mara 2 je nitakuwa na shidabgani maana kama mapenzi nayajua haswa ila chaajabu niambulia kuachwa tu kila siku
Karibuni wakuu
DOGO soma dogo, ivi bado unaamini money is better than education!

Hapo badae ndo utajua kipi ni affordable
Acha uzwazwa kwa umri huo hao wanakuacha ni watoto wenzio.
Nb: soma upate wa kulaumu
 
Back
Top Bottom