Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke! Wawe umri wowote Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge. Ni hayo tu Aggy
15 Reactions
167 Replies
17K Views
Ipo hivi Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi, imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo Msabato, Lutheran etc, kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe...
8 Reactions
199 Replies
16K Views
Ewe dada mwenye shida ya kuolewa kimbia hapa! Mkaka nakufata wewe mwenye lengo la kuwa na mwenza njoo tuzungumze PM... sina vigezo mimi Tukiwaita humu hamtaki mkiitwa na Rwakatale mnakimbia Mob...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdada au mama mtu mzima anahitajika kwaajili ya messenger chats. Umri kuanzia mwaka 23 na kuendelea na awe tayari kutuma picha zake bila kizuizi[emoji848][emoji848][emoji848] Kama upo tayari PM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
kama topic inavyojieleza natafuta mchumba wa kike umri wangu 25 na yeye awe na 18 -26 Awe single mother pia sio mbaya kikubwa 2pendane 2 Kwa maelezo mengi njoo Pm am SERIOUS
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Mm nikijana wamiaka 26 natafuta mpenz hatimaye aje kua mke sifa awe anatokea mkoa wa manyara kwaaliyepo aniPM mengine tutaelekezana huko
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Oyo niaje mazee? Ni takribani wiki mbili sasa tangu, demu wangu niliyempenda aolewe. Kwa kweli, ndani ya hizi wiki mbili nimepitia wakati mgumu sana ila nashukuru angalau moyo sasa umetulia na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za weekend wana jamvi. Awali ya yote napenda kuchua nafasi hii muhimu kusema asanteni wote kwa michango yenu. Vilevile kuwaomba radhi wale wote tuliopishana kauli au waliokwazika kwa namna...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza). Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially). Welcome PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Habari, hopefully mko wazima, likewise hapa, Mungu ni mwema sana. Good friends out there karibuni sana. Naitwa Nick, aged 33. Employed. Naishi Dar es Salaam. Thats all for now. Merci!
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello jf member, naitwa Adamson,natafuta mke wa kuoa tunaanzia urafiki mpk kuoana,umri wangu Ni miaka,32,Mkristu, Mke anaye takiwa awe na umri miaka 26-30 mwenye hofu ya Mungu.Awe anaishi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wana Jf Mimi ni kijana umri wangu miaka 25, Nipo katika hitaji la mwanamke ambaye tutaianza pamoja safari ya mahusiano kisha ndoa hapo baadaye... _Awe muislamu _ Awe na miaka kati ya 21...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa miaka yangu hii 39, nimebahatika kuwa na Watoto 3, na kutalikiana na mama yao mahakamani mwaka moja na nusu sasa. Kama inavyo sema biblia” afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa” 1 Wakorintho...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima kwenu great thinkers Bila kupoteza muda let me go straight to the point. I've been looking for a beautiful girl ambae tunaeza kuwa na serious relationship and maybe later tuwe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana janvi., narudi kwa mara nyingine hapa janvini kwa ajili ya kutafuta mwanamke wa maisha yangu. Mwanamke mwema/ndoa hakuna pahala sahihi ambapo unaweza kumpata ila ni sehem yeyote...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habar za muda huu wanajamii. Mim ni mdada wa miaka 29, Muislamu ninaishi na HIV+ na nimejikubali kwa hiyo sio jambo ambalo linalonisumbua. I am physically fit Alhamdulillah, Changamoto kubwa ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaaam Naitaji msichana au mke wa mtu au gf wa mtu yeyote anaeitaj kuchat sex chat usiku mda wa kulala au kuchombezana kiutani, kumpandisha ham. Umri awe kuanzia 25 to 40 Niko vzr katika haya...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom