Mchumba hatimaye mke anahitajika

Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
109
133
Mimi ni mwanaume ( mbaba) mwenye 39 na nina watoto 2 wa kiume, nimeajiriwa. Ni mpenda maendeleo mchapakazi sana, napenda ibada kiasi, siyo chapombe ingawa natumia pia kiasi. Natafuta mwanamke aliyetayari kuwa mke anayejitambua mpenda ibada, kuanzia miaka 30 hivi. Niko Dar es Salaam. Kama sijaeleweka vyema basi ntakupm kwa maelezo unayotaka.

Asanteni. Nicheki PM kwaajili ya namba na mawasiliano. SIku njema
 
Mkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?

Mkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?

Mfukua makaburi katika ubora wako
 
Mapovu yanaruhusiwa. 2017 sijasuuza mkuu, nilikutana na mambo mambo mengi kidogo, ntayaweka hapa
 
Mkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?

We me/ke.

Anyway we ni nouma, yaani hii nilitafuta sijaipata wala sijaweza kuifuta. Ila am curious wewe ni me ama ke...
 
Mkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?

Aha,aha,aha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom