Message…nimerudi tena msinichoke maisha ya mahusiano naona ikuumbiwa mm ila kuwa mama ni baraka natafuta mwanaume mkaka mbaba mwenye watt lakn hayupo na.mama watoto wake anaeitaji kusaidiana...
I am a Tanzanian girl young age and HIV positive, Pure Christian. Natafuta mwanaume HIV+ ambaye nitaishi nae kama mchumba wangu na baadaye tutafata taaratibu za ndoa.
Naishi na wazazi Kigamboni...
Hello wana Jf
Mimi ni mgeni humu japo ni mwenyeji nimekuwa nikifatilia JamiiForums kwa muda ila leo nimejiunga rasmi haswa kwasababu ya post hii
Kiufupi mimi ni mwanamke wa miaka 27 mkristu mrefu...
Habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 Ninaishi Dar Es Salaam.
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
* Mrefu asiwe mfupi sana
* Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25
* Awe hajazaa
* Awe...
Mimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz...
Wadau mambo vp...NajitokeZa apa Kutafuta Mchumba ambae badea kama mambo yakikaa sawa Aje kua Mke wangu kipenzii...Me ni Mtumishi wa umma, Umri wangu ni 26.....Sifa za Ninaemtafuta ni umri ambao ni...
Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA...
Habari zenu mimi ni mwanamke wa miaka 32 narudi tena kwa mara nyingine nahitaji mchumba/ mwanaume ambaye ni HIV+ sifa zifuatazo:
Awe: mwanaume
Umri:33-36
Awe: amejiajiri/ kuajiriwa
Awe: tayari...
Jamani wiki zijazo naelekea Zanzibar nitakaa huko wiki mbili,kama mjuaavyo ni ngumu kukaa bila sex muda wote huo kwa mwanaume so kwa Zanzibar nitpata wapi wauzaji papuchi
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.
Usiwe mfupi, maana...
Mamboz. Natafuta rafik wakike wa kubadilishana nae nawazo, life sharing experience in defferent stuffs n others. AGE kunzia 18
Miak yangu ni 26. If ur intrested my pm ipo wazi.
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist”, so sinaga habari hovyo, mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m a serious guy, focused and faithful to GOD...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
Mimi ni mwanamke miaka 27 nipo Dar es salaam naishi namaambukizi nya
VVU natafuta mume wa kunioa mwenye hali kama Yangu miaka29 mpka34 awe na afya nzuri awe amejikubali awe mkristo awe tayali...
Kama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 27yrs
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-26yrs
Awe anashughuli ya kufanya...
Niingie kwenye mada tajwa.
Nahitaji mke mwema.
Sifa za nimtakaye
Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia.
Umri 26-35...
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.