Nahitaji rafiki wa kike kutoka pande za kaskazini, kati, kanda ya ziwa mwa Tz, awe mwajiliwa serkalin/mashirika binafsi, umri chin ya miaka 23 kwa mawasiliano zaidi 0769396328 message zote...
Salam Wadau
Najitokeza hapa jukwaani kutafuta mwanamke ambae tukielewana aje kuwa mke wangu, awe mnene, rangi yoyote, elimu kuanzia kidato cha 4 umri kati ya 35-45. kama ana mtoto asizidi mmoja...
Natafuta mpenzi mwenye umri usiozidi miaka 21.awe mwenye utimamu wa kuchanganua na kupambanua mambo kwa uelewa wa akili.awe mrefu saiz ya wastani,awe mrembo anayefahamu lugha mbili yaani english...
Natafuta rafiki wa kike,
Awe na umri kati ya miaka 18-24,
.tabia nzuri.
.mcha mungu.
.mwenye uelewa na mipango ya maisha.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Aliye tayari ani PM.
Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri...
Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe...
Nitagombea uongozi mkubwa katika nchi hii. Naitaji mke wa mkataba mwenye sifa zifuatazo. Awe na mvuto kwa jamii. Ajue kingereza vizuri, mcheshi, mwanaharakati, awe mvumilivu kisiasa. Umri wake uwe...
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
awe atatoka singida
elimu kiwango cha chini degree
awe mweupe
awe mcheshi
mrefu kama cm 166
awe na umri usiopungua 22 na usizidi 35
maelezo mengine atapata...
Mimi ni kijana mstaarabu mwenye umri usiozidi miaka 25 .leo hii kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hizi kutafuta mchumba .kwa upande wa kazi mimi ni mjasiriamali toka mkoa wa Kilimanjaro...
Natafuta Mchumba wa kuanza naye Maisha.
Naitwa Fatma Ally ni mtanzania kutoka Zanzibar ila kwa sasa naishi hapa Doha,Qatar na ninafanya kazi na kampuni ya chakula hapa Doha,Ninatafuta mchumba...
From kahama shy tz am looking a wisdom girl & beautiful whenever you're age between 18 up to 22 for more info call me or text 789372822 all text i'll reply soon as possible.
I have been observing the advertisements in JF about love and noted that, whenever a male needs a girlfriend will always specify age that is below his while a female specifies above her's. Can...
JAMANI MIMI SITANII NIKO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA MKRISTO,UMRI 22-28,UMRI WANGU NI MIAKA 28 AWE MKWELI MSAFI ASIWE NA MTOTO(MIMI SINA),UMBO LA KAWAIDA ELIMU YEYOTE KABILA LOLOTE RANGI...
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.