Natafuta Demu wa kuzaa nae

Cynthia Chriss

JF-Expert Member
May 27, 2013
479
0
Demu ni tambara au kitambaa kilichokuwa kinatumika kufungia matiti zamani zile kabla ya ujio wa brazzie. you gat me boy
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,143
2,000
Mtu asiyeheshimu wanawake huwa nafikiri huenda ni hawa waliotengenezewa maabara kwenye tube...hata nguruwe jike ni demu unaweza kwenda kuzaa naye,mbilimbi wee...
 

michosho

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
509
500
naona ni mwendo wa kumponda mshikaji,japo hajajieleza vizuri......angekuwa mwanamke anatafuta mwanaume wa kuzaa nae...wakaka wengi wange comment haraka kuwa wata M- PM.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
paramawe Natafuta Demu Love Connect 3
A Natafuta mume mgane au asiyeweza kuzaa Love Connect 9
B Natafuta Mke Love Connect 10
M Natafuta mwanaume wa makamo Love Connect 71
Mr Bundi Natafuta mke Love Connect 8

Similar Discussions

Top Bottom