Sam anatafuta mchumba

Sam anatafuta mchumba

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Wasifu wangu
Age:26
Elimu:degree
Kazi:teacher
Mwonekano:angalia avatar yangu

Wasifu wa ninaemtaka
Age: 20 na kuendelea
Elimu:diploma au zaidi
Kazi:yoyote
Imani:mkristo
Mwonekano:awe mzuri wa tabia na sura
 
Elimu hii yaniangusha jamani,ngoja niende ngombaro...
 
we ticha c uchukue div V tu hapo mtaani kwenu
 
Sam Love ungemalizia kwa kusema wahi sasa nafasi ni chache sana
 
Last edited by a moderator:
Haka kadogo kangu kana vibinti vingi sana, sijui kanatafuta nini humu! Kila thread kapo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom