Kama wewe ni Mwalimu au Nesi nitakuoa nipigie

Kama wewe ni Mwalimu au Nesi nitakuoa nipigie

fkawogo

Senior Member
Joined
May 30, 2013
Posts
131
Reaction score
37
Mimi ni mfanyakazi na nimeajiriwa na serikali elimu yangu ni ya chuo kikuu nina shahada moja ni mkristo najitokeza kwenu nyie akinadada ambao ni walimu nesi na hata polisi km uko tayari kuanza maisha ya mke na mme nipigie kwa namba hizi tuwasiliane. 0659336264
 
Wauza nyanya gengeni huwataki!!!!haya wanakujaa
 
Nina dada yangu mwalimu ana umri wa miaka 43 na hajaolewa. Vipi, nikutumie namba yake?? Maana waweza kumuokoa..
 
Tupe siri na sisi, what's the secret behind ya kuoa walimu, nesi na police?! Maybe we can learn something here?!
 
Mimi ni mfanyakazi na nimeajiriwa na serikali elimu yangu ni ya chuo kikuu nina shahada moja ni mkristo najitokeza kwenu nyie akinadada ambao ni walimu nesi na hata polisi km uko tayari kuanza maisha ya mke na mme nipigie kwa namba hizi tuwasiliane. 0659336264

Mbona namba yako haijasajiliwa,,,utakuwa TP tu ww
 
Back
Top Bottom