Natafuta mke usela nimeuchoka

Natafuta mke usela nimeuchoka

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
Natafuta msichana anaehitaja mume wa kumuoa uzuri kwangu si kitu tabia ndio nikipendacho
 
Unauhakika uzuri kwako si kitu? Unauhakika?
 
Mwanaume huwez hat kujieleza ....
Mwanaume first day anaangalia shepu/ sura muonekano baadae ndo tabia inafuata
 
Endelea hvyohivyo ,tunafarijika

dada unaongea kauli za kukata tamaa sana, ni mbaya sana kwenye mstakabali wa maisha yako tafadhali jiamini kwani cc wanaume tumetofautiana sana kwenye vitu tunavyovipenda toka kwa wanawake, hata nyie vivyo hivyo
 
Hahaaaa kawaida mkuu naongea tu c kwamba nmekata tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom