Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
1,665
Reaction score
1,686
Mimi wasifu wangu ni kama ifuatavyo

-umri wangu miaka 34

-ni mwembamba, mweusi na mrefu wastani

-elimu yangu ni shahada ya kwanza

-nimejiajiri mwenyewe.

- mkristo naishi Dar

Natafuta mdada mwenye sifa zifuatazo ili awe mwenza wangu wa maisha.

- umri usizidi miaka 28

-awe mweupe/maji ya kunde, mrefu wastani na asiwe mnene

-elimu yake iwe angalau kidato cha sita.

-mkristo wa dhehebu lolote.

-awe anaishi Dar, Moro, Dom, Iringa, Mbeya, au Pwani

Mengine mengi tutaongea na kujulishana kwa yeyote atakayeonyesha nia ya dhati kwa pm.
Karibu sana ewe mwenza mtarajiwa.
-Aliye serious anitumie Pm
 
Nakutakia mafanikio mema ila uwe makini kwenye mitandao humu majini yapo mengi sana
 
ningekupm ila hilo jina lako mmmmh! hebu mnaotafta wachumba muwe na majina mazuri bana mnajizibia fursa nyie wenyewe. hivi ukiwa na jina kama The Boss unafikiri utachelewa kupata mchuchu? ni mfano tu jamani. ok, byee.
 
Last edited by a moderator:
Kesho nami naibuka na bandiko langu la kutafuta bebe, ngoja nikagoogle sifa zake kwanza....
 
Mkuu samahani kwa kuingilia hii siredi ila na mie nilikua natafuta bebe ila ndo sijui pa kuanzia.... mgiriki, Himidini, na mayenga kuna member iko sirious kutaka nchumba huku... mwaweza pata shemejiiiii hapa...
 
Last edited by a moderator:
ningekupm ila hilo jina lako mmmmh! hebu mnaotafta wachumba muwe na majina mazuri bana mnajizibia fursa nyie wenyewe. hivi ukiwa na jina kama The Boss unafikiri utachelewa kupata mchuchu? ni mfano tu jamani. ok, byee.

Heheee Waambie hao tena mchuchu mkaree extraordinary
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom