ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
Habari za sa hizi ndugu zangu,Bado sijampata mke mtarajiwa ndugu,my contact are:elly.makombe@gmail.com,0715 406010,contact 4 more datails but nipo dar mtoni kijichi.
Mtoni Kijichi? Mbona unatuaibisha wakazi wa huku
Haha kwani wa mtoni kijichi hawataki wame wema?
Badilisha iyo neno god andika God
Au unachagua sana wewe...
Habari za saizi ndugu zngu,Bado sjampata mke mtarajiwa ndugu,my contact are:elly.makombe@gmail.com,0715 406010,contact 4 more datails but npo dar mtoni kijichi.
Elly yani unatafuta mke utadhani umedondosha sh.mia mchangani heeeee!!!
Kigezo cha kuona ananifaa ni kipi kwa mfanoWanaokufaa wewe (kwa mtazamo wangu) ni Evelyn Salt, lara 1, badiebey, charminglady, Heaven on Earth. Anza na hao. Mambo ya kujifanya unamwamini Mungu halafu huchukui hatua, utaoa una miaka 65, shauri yako! Na kama ukitoka JF hasa MMU huna mke basi wewe nenda kaoge maji ya bahari halafu urudi tena! Fanya mambo kijana misukari ipo mingi humu, piga sound za ukweli, daadeki ingekuwa mie enzi za ujana wangu!
CC Babu Asprin
Tatizo npo bored sana evelyn.
Kigezo cha kuona ananifaa ni kipi kwa mfano
kama namba ya simu namie ninayo.....