Mdada, jaribu bahati yako leo, usisubiri kesho

Mdada, jaribu bahati yako leo, usisubiri kesho

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Yawezekana ukaokota embe dodo chini ya muarubaini. Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Mwenye heshima: Sikuambii uwe kama Mama Theresa, lakini unatakiwa uwe na heshima kwa watu katika namna ya mtu muwelewa, uwaheshimu watu wote hasa wakubwa zako. Hii ni muhimu sana

Uelewa: Sikuambii uwe muwelewa
kama
Marie Curie, lakini unatakiwa kufahamu jinsi ya kutumia akili yako kutatua matatizo. Aijalishi kama umeenda shule ama laa. Tumia akili yako na mambo yatakuwa mazuri.

Mfuata Mkumbo: Nataka mpenzi wangu awe na mind of her own. Nani anamtaka mwanamke rahisi kushawishika? Si mimi. Namtaka avae nguo ambazo zitamfanya aonekane nadhifu si sababu ipo kwenye fashion. Hamna mtu anayemtaka mwanamke ambaye ni rahisi kufuata mawazo ya marafiki zake. Awe na uwelewa wa peke yake, asiwaruhusu wengine kufikiria kwa sababu yake.

Usahili utafanyika baada ya wenye sifa kunitumia PM, Watakaofuzu Probation itakuwa miezi 4. Atakaye faulu ndiye atakaye kuwa mpenzi wangu, then mchumba Mungu akijalia atakuwa mke.

Sifa zangu
Dushelele Inchi 7 urefu.
Dushelele Inchi 6.30 upana
Elimu – Diploma
Kazi – Mfanyabiashara
Kabila – Msandawe
Urefu Futi 6
Unene – Bonge la Bwana
Napendelea – Mitoko ya mara kwa mara, Beach, Club, Mbuga za wanyama & Kusafiri
Sipendelei – Kujisikia, Kujidai japo nina pesa za kuwakeep charge wahudumu.

 
Kwa sifa zako HAKIKA utapata jumbe za kutosha...coz bamia zimezidi, wamechoka kula mlenda.
 
Watakaofuzu Probation itakuwa miezi 4.


Hiyo probation utakuwa unawafanya nini? shindwa ibilisi tumeshituka yawezekana unataka kugawa UKIMWI wewe.
 
Inchi 6 upana?uume wa tembo ama mtu.
Kawaida upana inchi 2 hadi 2.5 kwisha.
 
Hv hilo Dushelele huwa mnalipima kwa kutumia nini?
 
Inchi 6 upana?uume wa tembo ama mtu.
Kawaida upana inchi 2 hadi 2.5 kwisha.

Jinsi ya kupima upana wa dushelele. Unazungusha uzi kwenye dushe pindi mdushe ukiwa umesimama kisha uwo uzi unaunyoosha kwenye rula. Hapa unapata upana wa wa dushe

Kipimo chako ulicho nacho wewe siyo
 
Vijana mnahangaika. Eti nina dushelele sijui inch ngapi.
Tafuta hela, hayo mambo ya dushelele is just by the way.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom