thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 267
Napenda niwe na msichana mpole,msikivu na msafi.
Anayejitambua,mvumilivu,muelewa na mpambanaji.
Anayejituma,mwenye ratiba,anayejali na kuniheshimu.
Msomi au mwenye elimu ya dunia ,mchapakazi na mstaarabu.
Anayesoma alama za nyakati na muumini wa BIBLIA .
Awe mnene ,mwembamba,mrefu,mfupi,mweupe,mweusi mradi anaza .
SIJUI YUKWAPI