Nahitaji mke

Nahitaji mke

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Nahitaji mke kwa maana yandoa, nahitaji yule ambaye yupo tayari kwa hilo sio majaribio ya ndoa. SIFA : awe muislamu ,kuepusha migogoro ya kidini kwa maana ya kujakuhitaji kubadilishana dini. 2.elimu si chini ya kidato cha nne 3. Mwembamba 4.anayeweza kufuta miiko na maadili ya kitanzania . mawasiliano email. Sokomaziwa@gmail.com
 
Jaribu kupitia kwenye Ile list ya mgao wa Escrow waweza ambulia mwenye vijisenti, si haba
 
Mke gani huyo ambae atafuta miiko na maadili ya Tanzania?? kamtafute Ughaibuni usitusumbuee(Rejea no 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom