Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
3 Reactions
223 Replies
3K Views
A'alkm Natafuta mume Muislam Umri 35-45. Wasifu wangu - Nina miaka 36 -mpole sana na mcheshi -nina watoto wawili
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa, Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita. Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu...
1 Reactions
326 Replies
23K Views
Lemme start by saying mapenzi shikamooo......After that, am looking for a broken girl just to gimme a company. I want someone to chat with, someone I can explain what happened to...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
15 Reactions
141 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume. Naishi dar. Umri ;32 Rangi :Black. Dini yangu -muslim Natafuta mpenzi awe na sifa hizi Awe anaishi dar. Asiwe serious sana (Awe charming) Umri 20-35. Dini yoyote sibagui...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Kazi yangu biashara ndogo ndogo Kipato kwa mwezi ni 150,000 ,tukiungana kitaweza ongezeka Umri wangu miaka 35 Sina mtoto na sijaoa Mrefu wa wastani na mwembamba Sifa za mke Awe 25 yrs na...
7 Reactions
81 Replies
3K Views
  • Closed
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto. I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye...
40 Reactions
230 Replies
9K Views
Hapa nakuja kwenu ndugu zangu najua hapa ni platform nzuri kuweza kupata mke serious hakika naimani hapa nitapata namna nahitaji mwenye mapenzi ya kweli SIFA ZANGU Miaka 36 now Sina mtoto Rangi...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zangu. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo: Umri: miaka 40 na...
15 Reactions
66 Replies
6K Views
Nimeshapata wadau Msiniandikie tena meseji.
17 Reactions
179 Replies
27K Views
Habari wapendwa Naishi Moshi Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
2 Reactions
9 Replies
788 Views
Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda...
40 Reactions
113 Replies
5K Views
Awe na sifa hizi ✓awe mrefu wa wasitani ✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde ✓Asiwe na mtoto ✓Elimu kuanzia kidato cha nne ✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya ✓umri miaka 23 Hadi 27 ✓Awe...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf, Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo; Umri : 34 - 40 Dini : Mkristo Elimu : Awe na Digrii na kuendelea Awe ameajiriwa...
28 Reactions
336 Replies
15K Views
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo: Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote. Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea Awe msomi...
21 Reactions
139 Replies
9K Views
Hello everyone, Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha. sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa...
25 Reactions
117 Replies
22K Views
Back
Top Bottom