natafuta mwanamke wa kiislam kwa ajili ya ndoa

Feb 25, 2019
25
45
Asalaaam aleykum
mm n kijana mwenye umri wa miaka 24 natafuta mchumba ambaye umri wake uwe kuanzia 18 had 30 HV
mm najishughulisha na ufugaji ila yey shughul c lazma
mm n mrefu wastn fut 5.5,maji ya kunde na size ya kat
Kigezo kikubwa n awe amefungamana na deen ya uislam na HK kigezo ndyo kikubwa zaid vngne vtafuata baada ya deen
napatikana iringa mjin yey atoke mkoa wawote Tanzania
mawasiliano aboubakarymkonda11@gmail.com
0742199075
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom