Umeshindwa kupata mchumba kanisani,msikitini utampata online kweli???!!!

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Achani kujidanganya kwa vi2 ambavyo vko wazi,wewe kama ni muumini mchumba utampata kanisani/msikitini iweje leo uje utafute humu jamvini?tena humjui ingawa umeweka vigezo unavyovipenda lakni havitakua na nguvu kma yule unaemuona live.Jamani hebu 2acheni kupoteza muda kwa vi2 visivyowezekana.
Kuna wakati wa2 walilalamika humu wametafuta wachumba wamepata wachumba hao hawana lolote zaidi ya matamanio ya kukidhi tamaa zao za mwili 2.nimewah kuckia wengine wanaomba wawasiliane kwa skyper tena wanaomba waonyeshwe maeneo nyeti sasa hapo unahesabu umepata au anataka akidhi tamaa zake za mwili 2?Haya anaeona inampendeza na aendelee anaweza kumpata na wakajenga familia bora.
Nb: Ni mtazamo wangu na mawazo yangu yasiwe sheria.
 
Hamna sehemu ya uhakika unayoweza kupata mtu asikusumbue!!Tusiwe tunaongea tu ili mradi...
unaposema wachumba wanapatikana kanisani/msikitini....kwani hawa waliopo hapa JF wanatokea ulimwengu mwingine???
Waliopo hapa ndo wale wale unaokutana nao mtaani...kwenye nyumba za ibada...maofisini na kwingineko!!Sasa kama waliopo hapa ndo wale wale....kuna ubaya gani ukikutana nae hapa badala ya bar au kanisani kwasababu hamsali kanisa moja???au msikitini kwasababu yeye hayupo mkoa uliopo wewe???
Hamna sehemu ambayo ndiyo watu wanatakiwa kukutana...popote na wakati wowote!!Muhimu ni wote wawe na malengo sawa!
 
asante sana Lizzy coz wachumba wangeluwa wanapatikana sehemu hizi mbili alizozitaja yeye nadhani wengi tungekuwa bado hatujawapata...mchumba anapatikana mahali popote pale...
 
Achani kujidanganya kwa vi2 ambavyo vko wazi,wewe kama ni muumini mchumba utampata kanisani/msikitini iweje leo uje utafute humu jamvini?tena humjui ingawa umeweka vigezo unavyovipenda lakni havitakua na nguvu kma yule unaemuona live.Jamani hebu 2acheni kupoteza muda kwa vi2 visivyowezekana.
Kuna wakati wa2 walilalamika humu wametafuta wachumba wamepata wachumba hao hawana lolote zaidi ya matamanio ya kukidhi tamaa zao za mwili 2.nimewah kuckia wengine wanaomba wawasiliane kwa skyper tena wanaomba waonyeshwe maeneo nyeti sasa hapo unahesabu umepata au anataka akidhi tamaa zake za mwili 2?Haya anaeona inampendeza na aendelee anaweza kumpata na wakajenga familia bora.
Nb: Ni mtazamo wangu na mawazo yangu yasiwe sheria.
Duh!! Kokudo
 
asante sana Lizzy coz wachumba wangeluwa wanapatikana sehemu hizi mbili alizozitaja yeye nadhani wengi tungekuwa bado hatujawapata...mchumba anapatikana mahali popote pale...

Yeah

Kama mi wa kwangu nilikamatia baa. Uzuri uchumba wetu ukaishia baa nyingine aloponikuta namchumbia mchumba mwingine.

Mke/Mme bora hutoka kwa Mungu, na Mungu yuko mahali pote hata hapa JF isipokuwa kwenye jukwaa la Maria Roza.
 
hahahah nilikumic mbaya kabisa....umenipa raha sana..hapo chini ulikuwa umeshusha point kali kasoro ulivyomchanganya MR....hata kule wanapatikana bwana c ndio panapofundishiwa watakayoenda kuyafanya?
 
Lol!!!!
 
asante sana Lizzy coz wachumba wangeluwa wanapatikana sehemu hizi mbili alizozitaja yeye nadhani wengi tungekuwa bado hatujawapata...mchumba anapatikana mahali popote pale...

Yani ingekua kasheshe mpauko!!
Embu fikiria mimi niliye huku Ungalimited ukute mwenzangu niliepangiwa yupo sehemu ambayo sijafika wala matarajio ya kufika sina...je itakuaje?
Kokudo kama umetafuta hapa ukakosa au ukazinguliwa pole sana....ila usiseme eti hii sio sehemu ya watu kukutania!!!!
 
Masai Camp
 
Yes niliwah kutafuta humu but yalio nikuta nikajuta na kujua kumbe humu ni ubatili alie nipigia cm kumbe alikua ameshaanzisha maucano na rafki yangu kimbembe mshkaji kaiona number akajua nimemzunguka kumbe demu ndo hajatulia je hapo utasema nimepata au nimepatwa?
 
hii umetunga......
 
Kwani JF siyo hekalu takatifu? Sidhani kama kwa mujibu wa mtizamo wako, panapofaa kutafuta wachumba ni kanisani/misikitini tuu, kwani pande hizo shetani haendi kuangalia 'kondoo' wake kule?
Kwani hapa walokole hawapo?
Mkuu maisha popote, siyo Dar es Salaam tu!
 
Yes niliwah kutafuta humu but yalio nikuta nikajuta na kujua kumbe humu ni ubatili alie nipigia cm kumbe alikua ameshaanzisha maucano na rafki yangu kimbembe mshkaji kaiona number akajua nimemzunguka kumbe demu ndo hajatulia je hapo utasema nimepata au nimepatwa?

Pole yako!!
Wangapi wanakutana huko kanisani na misikitini alafu wanaletewa watoto wa nje ya ndoa????
 
Back
Top Bottom